Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,478
- 176,519
Msomali akirudi atamkuta sally na mimba ya dee.Andaeni kamba mapemaaa
Msomali akirudi atamkuta sally na mimba ya dee.Andaeni kamba mapemaaa
Usinikuze jamani!!!
Hahahaaa!! Ndio haijanasa sasa, na hainasiDua la kuku
Nyie tulieni muone mambo, msomali hana mbwembwe za maneno mengiiiii, actions tuHahahaaa!! Ndio haijanasa sasa, na hainasi
Andaa kamba ya kujinyonga nakwambia...Dua la kuku
Teh naona mpo kwenye safari ya matumainiAndaa kamba ya kujinyonga nakwambia...
Unajua kuwa hawara hapewi talaka??
Msomali ndio ataelewaMsomali akirudi atamkuta sally na mimba ya dee.
Na ikinasa inanasa ya Dee na hivi kakosa visaHahahaaa!! Ndio haijanasa sasa, na hainasi

msomali aandike maumivuNakukumbush tu sally kakosa mimba na bado anamkubali Dee na msomali anaenda kwenye harusiNyie tulieni muone mambo, msomali hana mbwembwe za maneno mengiiiii, actions tu
Teh if wishes were horses....Msomali ndio ataelewa
Hii ni safari ya ushindi sally anataka mtoto acha mwanaume aje ampe kitu roho inatakaTeh naona mpo kwenye safari ya matumaini
Action zake kitandani tu, hana ujanja zaidi ya hapo.Nyie tulieni muone mambo, msomali hana mbwembwe za maneno mengiiiii, actions tu
Haha ndo mshaconclude kuwa? Nyie hamuijui akili ya msomali, subiri afike hukoNakukumbush tu sally kakosa mimba na bado anamkubali Dee na msomali anaenda kwenye harusi
Dee asituangushe kwakweli.Na ikinasa inanasa ya Dee na hivi kakosa visamsomali aandike maumivu
Zitakuwa elephant this time.Teh if wishes were horses....
Aaah kabisa, na hivyo anajutia kwanini hakuzaaga na dee! Kwisha habari yake.Hii ni safari ya ushindi sally anataka mtoto acha mwanaume aje ampe kitu roho inataka
Akishafika atafanya nini? Atatuma mbegu kwa email?Haha ndo mshaconclude kuwa? Nyie hamuijui akili ya msomali, subiri afike huko