Weekend Story! Glory Be To God!

Weekend Story! Glory Be To God!

Hahahaaa weekend Mama, au unataka niharibu tena? Tunatibu majeraha....huyu Shunie anahofu bure, nimeokoka waungwana naomba mnielewe. Sasa hivi ni mimi na KLM tu kumsifu Mungu.

Niwekee kumbukumbu sawa kwa binti yako kwamba sikughairi bali niliheshimu katazo la mahakama kutoka kwako.
Nakusalimia tu mimi baba yeyoo
 
lara asamte sana jaman ahahha ila nimecheka san kwa dee na vituko vyake sally imekula kwake mimba za hivyo hazipatikaniki
 
Dee Pablo!

Once a king, always a king. Its a matter of time, we'll be back on our throne!

Kumbe Sally anajutia kutokubeba mbegu ya Dee!
Hahaaa

Soon, Lara 1 ataambiwa kauza mechi.

- KANA -
 
Mtumie auntie tu jaman baba yeyoo mbona alikubali kupokea halaf ataniletea mie

Muulize viziri Aunt espy akwambie ukweli. Ananisakizia kesi tu ila ukweli anaujua yeye mwenyewe. Mie mtumishi siku hizi sidanganyi..mambo ya Msomali tupa kule! am Jesus boy! Ni wakati wa kumrudia Muumba
 
Back
Top Bottom