Atakae tabiri matukio ua episode inayofataaa mfuasi wake anashindaaa! Anzeni. Atafata nani, na nini kitazungumzwaaa. Na kina nani na itaishia hapooo.
Afu mtafutane nani wa kuninunulia mchemsho na bia mbili. Ni elfu 15 tu. Ama sivo nitaenda kupigwa Full Pictureee! Tuonane jumanne! Nyie watu wazima mjongeze hapo nitupie episode 2.
Hahahaaaa!! Na ninaombea isinase.lara asamte sana jaman ahahha ila nimecheka san kwa dee na vituko vyake sally imekula kwake mimba za hivyo hazipatikaniki
Hebu acha visingizio, lete huo ubuyu.Mama Yeyoo nipo mzima. Umeona Aunt alinibania ukakosa ubuyu...mimi hapana tabia mbofmbof. Umekosa kitu cha babu Issa.
Kama nakuona ulivyofurahi!!Dee Pablo!
Once a king, always a king. Its a matter of time, we'll be back on our throne!
Kumbe Sally anajutia kutokubeba mbegu ya Dee!
Hahaaa
Soon, Lara 1 ataambiwa kauza mechi.
- KANA -
Long time no see, habari yako mpendwa!Pamoja sana kubwa la maadui jpili imekaa vizuri
Dee anaanza kunivuta piaKimoyo moyo sally anampenda Dee nivile hataki tu kukubali

Usinikuze jamani!!!Huu ukimya kwenye jukwaaa inaonyesha watu wanaulizana tu..."..yote au passport? Utaweza tuu vumilia" KLM haufai. Umeleta xxxxx rated weekend ili uwaachie wasomaji ukumbi wa kujivinjari!!
Kwa Dee nang'ang'ana sina mpango wa kumkana kwakweli...Dee anaanza kunivuta pia![]()
![]()
![]()
Atakae tabiri matukio ua episode inayofataaa mfuasi wake anashindaaa! Anzeni. Atafata nani, na nini kitazungumzwaaa. Na kina nani na itaishia hapooo.

Mama mchungaji hii ndio sadaka!!Afu mtafutane nani wa kuninunulia mchemsho na bia mbili. Ni elfu 15 tu. Ama sivo nitaenda kupigwa Full Pictureee! Tuonane jumanne! Nyie watu wazima mjongeze hapo nitupie episode 2.

Mwanaume lazima upambane,sema natamani lara aje na part 2 ya amar basi tuKumbe na wewe kipande cha Pablo kimekukumbusha Walter mtoto wa Morogoro??
Dee nae design ya akina Amar na Haris, wapambanajiiii...KLM ana madini hatari!
Dee nimeanza kumuelewa, haswa baada ya kuachana na umarioo.Kwa Dee nang'ang'ana sina mpango wa kumkana kwakweli...
Andaeni kamba mapemaaaSame here![]()
![]()
![]()
Dee mwanaume acha msomali aendelee kulelewa na sasa hivi anabambikiziwa mimba dadeqDee nimeanza kumuelewa, haswa baada ya kuachana na umarioo.
Dua la kukuHahahaaaa!! Na ninaombea isinase.
Dee mwanaume acha msomali aendelee kulelewa na sasa hivi anabambikiziwa mimba dadeq