Where is Your Happy Ending!
Kiukweli swala la msomali lilinivuruga kichwa si kidogo haswaaa hili la mwisho la kutaka mtoto. Not that kwamba mimi sipendi watoto, i am my fathers daughter napenda watoto hamna mfano. Just that kwamba mimi nimezaliwa kwenye ndoa and all kwa mtazamo wangu naona watoto wanapaswa wazaliwe kwenye upendo, amani na furaha.
Swala la Msomali kutaka mtoto sikuwa na uhakika kwamba ni genuine intrest kwamba anapenda watoto, na huyu bwana kama mjuavyo mi simjui, nimemkurupua tu huko kariakoo, sijui ni nani, katoka wapi, wala anaelekea wapi. Chochote anachoniambia it has to do, cause i have no other means ya kuweza kujua anasema ukweli au uongo.
Wasiwasi wangu ni kwamba haya mambo ya kutaka mtoto maybe he was just pressured with Dee being arround, living large and throwing cash. I was pressured too. Dee alikuwa katukalia kooni, full kutupiga mi advertise, full kutuchapa bakora za macho. And he was playing dirty, kumtambishia msomali huyu demu wako na namchukua ukiwa unaona live sijifichi which was not cool. Man to man, hata kama una hela you cant treat your fellow man kama trash, okay basi mzarau kote ila sio kutaka kumtombea demu wake kimacho macho inanyongnyezaaa sanaa. It is simply inhuman.
Afu na watu nao kwa kuwanga mchanaa mchanaaa hawawezi kunitaja bila kumtaja Dee. Na wamejua msomali kiboko yake Dee, wanamtajajeeee sasa kwa msomali, Msomali wa watu anabakia kuzeeka tu sura kwa stress. Zamani alikuwa mkorofiiii hatari, kwenye kugombanaa anafokaaa, ananitukana kisomaliii, mpaka anatishia kunidundaa, yaani sio mara moja au mbili ananusurika kunichapa vibao, anajiwahi tuuu. Hata club akihisiii tu kuna bwege anataka kuleta namna namnaaa weeeeeeee moto wake Alshabab wakasomeee.
Ila tangia ampate kiboko yake Dee, anatia imaniii. Anasikitishaaaa. Amekuwa mpoleee kama kasalimu amri. Ugomvi kaacha kabisaaaa. Kawa mwana diplomasiaaa. Mpenda suluhuuuu. Zamani kitu kidogo anaenda kushtaki kwa baba yangu mzazi na mama, khaaaaaaa, afu kama kawarogaaa, anasikilizwa yeye kuliko mimi. Siku hizi hashtaki kokote, hasemi lolote. Nirudi asubuhiii nitaambiwa pole baby, niongee na mwanaume atakaa pembeni vitu ambavyo zamani usitakeee kusikiaaaa varangati lakeee.
Mpaka napata mashaka iko siku nikirudi nyumbani sitomkutaaa. Hio hisia imenikaaa rohoni si kidogo kwamba huyu msomali yupo katika hatua za mwishooo za kuondokaaa kuniacha kimya kimyaaa. Si mnajua mtu ukishaamua yako moyoni unabakia unawachora tu watu na kuwahesabia sikuuu, au kama hajaamua yuko mbioni kufanya maamuzi magumu.
Dee nae hana akili timamuuu kabisaaa. Kaniharibia mambo yangu kingese kingesee. Kaa bado ananihitajiii, angekuja tu kimyaaa kimyaaaa, kiutu uzimaa, akaniita pembeni, bwana hawara angu, mahawara hatuachani, mi design kama bado mzigo nina hamu nao, tunafanyaje sasa. Tungekaa na kuyajenga kimya kimya, tusingeshindwanaaa, sisi ni watu wazimaaa. Wahenga tungepanga namna ya kuyajengaaa na kumalizana juu kwa juu kila kitu level.
Sasa yeye kaja na makeleleeee kibaooooo, Sally yuko nani? Msomali ndo nani? Mi najua Dee kaja na ameniweka wanted kabla hata hatujakutana face to face. Kuja kumuona msomali hana hata common courtesy, anamwambia mambo ya Ray J, I hit it first, mara huyo ni wa kwangu, hujui tulipotokaaa na hujui tunapoenda, tumepeana tu likizo isio na malipo. Mara nikupe shingi ngapi urudi Mogadishu. He is very very rude, extremly rude and childish to Msomali.
Kinachosikitisha zaidi Msomali is not hitting back. Harudishi mashambuliziiii, wala haniambiii. Anaviweka tu rohoni kitu ambacho ni kibayaaa sanaaa. Vikimzidi anaenda kumwambia Craig. Craig inabidi aniambie mimi maana ananijuaaa kubwa la maadui mama la mama. Ndo namfurumushia sms za matusiiii Dee mpaka ananyooka kwenye mstariii. Sio kwamba matusi yangu ndo yanamnyoosh, Dee kapindaaaa, yani kapindaaaa, kinachomnyoosha ni fact kuwa its is me, the love of his life, calling him names, and treating him like trash
Dee kapindaa sanaa, na aliempindisha ni mimi mwenyewe ndo maana najua the damage i have put in him sio ya nchi hii. Na hawwezi kupata mwanamke kama mimi hata afanyaje. Najua pale kwa Pendo anajuuta sio kidogo sema afanyaje sasa. Mwanamke gani sasa yule. Ndo mambo ya kutembea na mtu kufata moyo ndo maana siyapediii. Unaweza jikuta unatoka na mtu haelewekiii na ukamfanya life partner, afu ukaanza kujutaaaa. Heheheee! Msinifate mimi oneni nilipoishia kufuga bwana kisa kuchagua sanaaa. Hahahaaa.
Dee we came way back when. Alikuwa soma soma, msongo wa darasa, wale wfuta ubao na wazee wa ndio mwalimuuu. Anavaa suruali panaaaa kama ngoswe penzi kitovu cha uzembe shuleni kwao. Mtaratibuuu, intelligent, smart, his future could have never been brighter. Oga oga ile mijitu miogaaaa inaongea na wasichana wabayaaa kuogopaaa kushushuliwa na wadada warembo. Darasani anapata A's tu. Well that was before he met me.
Walihamia mtaani kwetu, sasa kutokana na kuwa soma somaaa haonekani vijiweniii, wala wapiii, sikuwa nimemuonaaaa kabisaaaa. Hapo yuko form 5 mi form 3. Ana mdogo wake wa kike, mwingiiii kama Sally ambae tulikutana vijiweni tukawa mashostiii, akawa analiwa na kaka angu. Siku ya siku nimeenda kwao nikamuona Dee, na ushamba wake, utaratibuuu, miwanii kubwa kutokana na kusomaaa somaaa sanaaa. Akanidanganya yule ndugu yetu katoka kijijini ila nilijua ni kaka yake sababu wamefanana sanaaa.
Dee akaja kutaka kunizoea sasa swagaa zetu tofauti. Ananiuliza mambo ya darasaniii, aliniboa in short. Sikumfatiza sanaaa. Akawa anaihusia nisomeee, maisha yako shuleni, nikazidi kumuona punguwani. Pale mtaani nani kasoma na mbona wana maisha. Anyway sikuwa rude cause alikuwa kaka wa wifi yangu, na mzee kaka alikuwa ananioshea vyombo zamu zangu, ananipikia, anything ilimradi tu nimjengee mazingira mazuri ya kumtafuna shoga angu. Hatukuonana tena kitambo.
Siku hio nikamkuta kawekwa mtu kati na wahuni wa mtaani, ambao ni kaka zangu na rafiki zao, kisa kuna demu alikuwa analiwa liwa na mmoja wao akawa anamfundisha tution, ikasemekana kamla. Sasa namjua mtu wa integrity asingeweza kufanya hivo. Ila ndo mi nafika pale washamteka wanataka kumshusha bondeni. Nikawa nimekaa pembeni natizama kimyaaa nione mwisho wale. Basi wahuni wanasema leteni kopo la vaseline kama haman hata blueband.
Sasa ndugu yangu shari aiweziiii, anajitahidi kujielezea kisomiii, hawamuelewiii kabisaaa. Winni ananiambia Sally tukamsaidieee, yule si kaka yake Roda shoga ako, wifi yako. Namwambia tunamsaidiaje unazani, na tuhuma za kuchukua demu wa mtu kitaa bora hata uue ila sio kupora demu, pale tukiingilia tutapelekwa sisi bondeni, na usasikia wameagiza kopo la nusu kilo la blue band. We tulia tu tuone mwisho wake.
Yule mtuhumiwa badala afocus kwenye mashataka yake wayahudi wanataka wamsulubisha kakazana kuniangalia mimi kama kaona nini sijui, hata situation yake kaisahau kabisaaa. Yaani haoni uzito wa matatizo yake. Bora hata angekuwa ananiangalia kwa huruma, ananingalia macho ya kunitakaa kabisaaa. Kaka angu akamfumaaa.
Haaaaaaaa! Huyu Hanisi anamuangalia Sally, yaani ushamlaa demu wa Wille, sasa unamtolea udenda demu wa Yunus si ndio. Ikawa kapata kesi juu ya kesiii. Huyo bwana wangu Yunus ndo baunsaa wa mtaa. Sio kwamba ana mwili mkubwa au vipi, jeuriiiiii kweli kweliii kashindikana. Akaenda kuitwaa. Kwanza anatembea na visuuu mda wote, afu mlevi haelewekii. Winni ananiambia Sally fikiria jinsi ya kumuokoa, hukosi namnaaa. Nikamuuliza Winni una nini na huyu kaka? We anakuuma nini? Akasema "Mi nampendaaa! " Nilistukaaa maana Winni hakuwa mtu wa kugawaa, alikuwa anajitunza hatariii, kumbe all for this bwege? Haaaaaaaaaa! Ikabidi nimsaidie tu
Nikamwambia sasa mimi naenda bondeni napiga kelele nabakwaaa nabakwaaaa, wewe huku kamwambie akimbieee asigeuke nyumaaa, na huu mtaa ahame. Winni akakubali. Mi nikashuka korongoni, nikatatuaa shati kama design mtu kanichaniaaa. Na kupiga ukunga Nabakwaaaaaaaaa, Mama ananibakaaaaa, Sally nabakwa mieeeeeee. Nikajua tu kaka zangu wakisikia watakuja na ho ndo wakorofi kule.
Wakaja kweli, wakanikuta sidiria wazii najihemeshaa, wakauliza yuko wapiii, nawaambia mbaba kakimbilia kuleee. Kumsaka sakaa hamnaa mtu. Kurudi yule bwege hayupooo. Nyumbani nikawekwa kibanooo, kwanii nimekula njama za kumtorosha yule bwege. Nakana mashtakaa yote, ila washausoma mchezooo. Na walimuona Winni anamwambia bwege kimbiaaa. Kilichomuuma kaka angu mkubwa siku zote anamtaka Winni, Wnny anambaniaa, anavumilia aje ale bikra, afu Winni kumtorosha mtu, akaniuliza swali moja tu!
Tule pimbi amamtomba nani kati yako na Winny? Nikajibu fastaaa mimi. Akasema bahati yenu. Mmmmh! Moyoni nikasikitika kwamba bora niliwe mimi dada yake wa damu sio Winni. Kaka sinaaa. Nikampasha Winni na kumshauri labda amfikirie kaka yangu kishakajiii, kwani kinaishaaa. Namwambia utakomaaa siku ya kutolewa utapasuka pasukaaaa. Winny ananiambia kaka zako wakoraaa, wakorofiii mi siwaweziii. Nampenda Dee anapenda shule kama mimi. Namwambia shauri zenuuu. Kama unampenda Dee ndo umkubalie kaka yangu sasa ndo atamuacha Dee akae kwa raha. We mwenyewe unajua yule ndo Ring leader, akitoa decree Dee akae kwa raha mtaani hakuna panya ataemgusaaa. Akaniuliza kweli? Namwambia wewe si unajua huu mtaa hauna serikali zaidi ya serikali za kaka zangu. Akawaza sanaaa.
Kaka yangu akatokea, yule mkubwaaa. Ugaidi wake woote akimuona Winny ananyweaaa, anakuwa mwema hatariii. Nikiishiwa hela namtuma Winny akamuombe kwa niaba yangu na anatoa. Anasema mimi Winny nataka anikubalie mwenyewe sitaki kumlazimishaaa. Siku hio kaja, Winny hajaaga kuondoka wala nini maana kimuona anatoka ndukii hatariii. Nikaaga mimi kwenda kusiko julikana niwape nafasi watongozane.
Narudi nakuta bro yupo kwenye good mood vibaya mnooo. Ana furaha sio za nchi hii. Kwanza kanipa elfu 20 bila sababu. Anafuraha kama anatakaa kupaaa. Nikamuombea msamaha Dee. Akasema amesamehewaaa! Kirahisi rahisiiii tu, nikawa kama sielewi mchezo. Nikamuuliza kaka angu wa kati, anaetoka na Roda, vipi leo kubwa la maadui lina furaha gani? Akaniambia shoga ako kampa mambooo leo!
Nilistukaaaa! Kampaje mpajeee. saa ngapi, ilikuwaje? Ananimbia dogo ulipotokaaa ukamuacha yule kondoo na hili jangili ulitegemea nini? Nikamuuliza kampa kambaka? Bro yupo kwani kuna tofauti kati ya hivo viwili? Usiku huo huo nikaenda kwa kina Winny. Naanza kumpa pole nyingi, na kumuomba msamaha kwa kumuacha. Akaniambia hajanibakaa, nimempa mwenyewe tu kibingwa. Nilichokaaa.
Nikauliza ilikuwaje. Anasimulia, we started kissing, ndo nikahisi hali ya ajabu, i think hata nilikuwa nampenda, sema nilikuwa namuogopaaa, ila tumekaa, he was so sweeet, caring sivo nilivokuwa namfikiria kabisaa. I am in love Sally, i am in love. Nikashangaaa. Na kumuuliza Dee je? Akasema i think it was just a crush. Nampenda kaka yako.
Na walipendanaaa sanaaaa. Sio juu juu. Kama kumbi kumbiii. Na hivi bro mtu wa mishe ana helaaa za kula vitu vidogodogo. Ratiba ya Winny ikabadilika kabisaa kabisaa mda wote yuko na Bro, kama hanioni washkaji zangu. Baunsa nae akapata kesi ya ujambazi na umri ule mdogo akaena kufungwa. Nikawa Mzee mama niko alone kitaaa. Niko bored, sina mshikaji wala bwanaa, wala shogaaa. Mtaa nikawa nauona mpana kama pazia la sinema.
Siku ya siku narudi skonga mwenyewe njianiii nakuta Dee kawekwa mtu kati na madogo wa form 2. Wako wa 5, Dee mmoja. Sasa Dee alikuwa kama pastor sijui ZOba, mtu anae advocate watu waache violance, gangs, hoods, wazingatie masomo. Sasa akawa kambadilisha mawazo gang member mmoja, ndo kundi sasa limemjia. Nikapitaaa kabisaa kama hatua 5 mbele sipendi shari. Nasikiliza, wenyewe wanamtishia yeye anawapa falsafa za kima Malcom X, mara Mandela. Yaani anasikitisha. Nikarudi tu kumsadia.
Nikaingilia kati, na kuwatishiaaa, oyaaa madogo mi Sally kaka zangu mnawajuaa lakini, muacheni huyu bwege aende zake. Waka kazaaa, kaka zako ndo nani? Yanakuhusu nini? Sasa tunakubakaa live mbele ya boya wako. Dee akatetemekaaa. Mi nikachekaaa, ananiambia Sally kimbiaaa. Nikamwambia sikimbiii. Waje wanibake tuone kama watanibaka, tutabakanaa au mi nitawabaka wao. Anaanza kuleta falsafa za Malcom X tena.
Dogo mmoja akajitia kuanza kunia approach sasa sijui ndo anichanie nguo, kafika akala wembe wa mgongooo shati lote likaloa damu. Amepiga ukunga mama, wenzie wanaona shati tu limeloa damu. Wakakimbiaaaa wote. Yule nilimlima wembe ane akapata akili nae anataka kukimbia. Akaona nimemshikia kisu. Akaanza kuomba msamaha. Dee anasema msamehee, namwambia keleee. Nikamwambia haya taja wenzio, shule wanazo soma, wazazi wao kina nani na maelekezo yalio nyooka ya kufika kwao. Nishakukata na wembe sasa kukuchoma kisu sio issue. Dee anasisitiza achana ane ushamjerui. Namwambia tuliaaaa. Akaimba paleee.
Nikamwambia twende kwenu, kadataa, anawaza akaka zangu wakitokeaaaa, amekwishaa, kumbe mimi mwenyewe namtoshaaa. Kaka zangu wa nini. Akaingia kwao, nikamuuliza dada huyu nani, akasema Ommy, anaishi hapa ndio, Na nani wazazi wake. Nikajua pale kwao. Nikamwambia Dee twende, Njiani nikamwambia nenda kwenu saa 1 kwa usalama wako rudi tulisambaratishe hili kundi, ama sivo jua likiwaka sisi ndo tutakuwa wanted. Hii ni gang war, wata retaliate unless tuwasambaratishe kabisaaa. Dee anatetemeka tu.
Saa moja kaja, bro akaanza kumchagizaaa. Anauliza huyu bwege una ishu nae gani au ndo umemamuakweka mambo wazi sahivi baunsa anatumikia kifungo. Nikamwambia fanya yako. Twende. Tukaanza kwa kina Ommy, nikapita mpaka sebuleni na kumkuta baba mtu. Akashaanga binti naingia sigongi wala nini. Nikamwambia mwanao Ommy ana makundi mabaya, walitaka kunibaka, shahidi Dee. Nimemkata na wembe. Kama huamni muite. Akamuita, Ommy kutuona akaanza tu kulia. Tukasikia vua shati! Nione mgongo. Analia tu. Akafokewa. Akavua anatetemekaaa. Akaona wembe umepitaaa kisasa sawa mgongoni. Nikasikia mama Ommy leta mkanda wangu wa combat. Ommy anaomba msamaha kwa baba mtu. Nikamwambia mzee mtachapana baadae, mi nataka kwenda kufungua kesi ya ubakaji. Miaka 30 jela mwanao. Akaanza kuniomba usifanye hivo.
Nikamuuliza ingekuwa binti yako ungemwambia hivo. Baba anazidi kuvimbaaa. Anawaya wayaaa. Nikamwambia tatizo sio Ommy kundi alilo nalo. Watanibaka tenaa. Baba akaguna aksema sio Ommy. Leo atakiona cha mtema kuni, hilo kundi hatosogea lilipo kipondo nitakacho mshushia. Nikamwambia bado watanibakaa wenzie bora tu nikafungue kesi na Ommy ndo mtuhumiwa namba moja. Akauliza wenzie kina nani? Nikamwmabia muulize. Ommy akaanza kutaja mwenyewe.
Akasema twendeni kwenye gari, analalamika We maku unajua kosa la kubaka wewe. Makalio ya babu yako, mi nalipa ada unabaka wasichana njiani. Leo nakukula nyama. Tukaenda nyumba moja moja ya wale wakoraa, baba Ommy ndo msemajiii. Watu wanajitia gangstars kumbe watoto wa baba tu. Kila tunapotoka tunaacha msibaaaa. Na nikamwambia baba Ommy amabe mjedaa, tukipatwa na kitu, mimi au Dee, atawajibika Ommy. Akasema shaka ondoaa, miziz nishaingoaa. Nikushukuru kunijuza anayofanya huyu punda mchanaaa. Akatushusha ma kwetu. Nilisikia tu Ommy alilazwa kwa kipondo alichoshushiwa na mjedaaa. ALikoga mikanda ya kutoshaaa.
Story ikasambaa, ila kina Ommy wakaona aibu kusema I wooped their asses na kuwafanya ndivo sivo, wakaona vile mi mwanamke soo. Bora wajitangazie wenyewe waseme ni Dee ndo kawakomesha akiniokoaa, sababu mi demu wake, wakati it was i who saved his ass. Dee akapata jina mtaani sio kwa tukio lileeee la kijemedariii. Akapewa jina Dee kiboko ya wahuni. Wakawa wanavumisha Dee akijua wee muhunii anakupeleka kwa wazazi wako mkono kwa mkono na umekwishaaa. Ikawa wahuni wakimuona Dee yule wanajikataa fasta. Kama watu wamekaa kijiweni akitokea Dee tu kijiwe kinatwanyika, wanatafutanaa. Baba ubayaaaa.
Mpaka kaka zangu wakawa wanamuogopa Dee. Hahahaaa. Na hapo Mzee ndo kaanza ratiba ya kuwapiga ngumi, na mateke, mana to man, maana walishindikana, au mikanda tu anawatandikaaa. Kusikia Dee hana dogo ukiingia kwenye 18 zake anaenda kwa mzazi wako kumwaga falsafa umekwishiiaaa, anakumwagia sumuuu, home unaonekana muasiii. Basi kaka zangu wananiambia ongea na huyu Dee bwana kama vipi, we si unampa uchi, atukaushie wanao. SI unamjua mzee wako sio mtu. Si tumechoka kukoga mikandaaa. We Dee tutanakukabidhi, deal naeee ki kikeee, malizana nae, usengery wake asiuletee kwa bahariaaa kabisaaa. Nawaambia shaka ondoeni Dee mkifanya nachowaambia hatokuwa tatizo kwenu.
Zikapita wiki 2, Dee haonekani. Nikamfata kwao, hana hili wala lilee. Ananiambia Sally umesababisha watu wananikimbiaa, wananiona Monster. Everybody is afraid of me. Sally my life is going craizy. Nikamwambia mimi nimekuja kukufata Pablo Escobar, your throne is waiting for you. Now you rule the streets. Even my brothers have bowed down. Akashangaaa! Really! Your brothers? Yes my mean, evil brothers.
Akawaza akasema aa, akasema i dont want that life, i dont want the throne, i just want my old life back. You take the throne, you earned it. Nikamtizamaa na kumwambia sikia we boyaaa, its not like you have a choice, you have to take the throne. Mimi ningechukua hio taji, ila they will never let a woman rule, especially my brothers. And i am tired of being nobody, its time i become Pablo. And only way i become Pablo is become weak Pablos woman. You are Pablo now, and i gonna rule through you. Kama hutaki nawaambia ukweli woteee. Imagine watakufanya nini kuanzia kina Ommy na kundi lake, kaka zangu, etc. There is no option to go back. Acha kusoma falsafa anza kusoma Crime bosses games and rules. Na uje harakaaa Pablo.
Zikapita siku 2 hajaja na watu washaanza ku question kama kweli Dee kafanya yale yoteee, sio kwa kuwa kibondee wa mtaa miaka yote ghfala atu. Wakaanza ku raise concern an serious doubts. Dee mwenyewe haonekaniii. Mi nikaanza kupanic. Nishajiapiza Dee asingekujaaa sijui ningemfanya nini. Kukawa na party usiku huo. Akaja Dee na macomfidence ya ajabuuuu. Watu woteee kimyaaa. Ila ile serious doubts nikajuaa kabisaa ishakulaaa na lazima kutakuwa na tukio. Inshort mi Dee nilikuwa simuaminiii kama anauweza U Pablo.
Akaja mpaka meza waliokaa kaka zangu na wakora wengineee. Akasema maneno ma 2 tu. "Naihitaji hii meza." Kwa nguvuuu. Watu wote tukawa tunaangaliana. Wakora wakaangalianaa, wakamdindishia Dee. Dee akaanza kuhesabu 5,4, 3...2....1 Wakamuwahiii, Pabloooooooo meza yako hii bwanaaa. Kwanza sisi tulikuwa tunaondoka si eti? Wakaitikia ndioooo. Wakaja kujibana huku nyumaaa. Akaka miguu kaweka mezani. Nilifurahiii, nilifurahiii. Nikajipeleka mezani nacheka chekaaa. Nikataka kukaaa, akanifokea nani kakwambia ukae? Nikasimama kwa aibuuu! Kanilee kinywajiiii! Kidogo nipasukeee. Winni kashika mdomoo. Kaka zangu wameshikaa chupa wanataka kulianzishaa. Nikawaambia poeniiii.
Nikamuuliza kinywaji gani? Akasema Safari Larger. Who knew this fool even drank. Nikaenda nikafungua nikaimwaga nusu na kuijaza konyagiii. Nilihisi he was just fronting, ana act sababu nimemchimba mkwara, Bia haiwezii. Akasema nimiminie. Nikamiminia, haikutoa povu. Akastukaa. Akaitupa glass chini umetia nini humu. Akanilamba makofi ma tatu. Kaka zangu waliumiaaa roho. Nikaenda kukaa kwenye konaa nawazaa huyu makuu nitachomfanyaaa. Wapambe wakwa wamemzungukaa wanampambaaa.
Ndani ya wiki Dee hashikiii, Pabloooo, Pabloo kweli. Kwanza anabadili wanwawake kama nguooo. Unaambiwa kamchukua mwanamke alimtongoza mdaaa kabla hajawa pablo akawa kamringia. Siku kamkubalia kaenda nae chumbaniii, kavua nguooo kamtizamaa, akamwambia vaa nguo uendeee. Hata hajamlaaa, basi hata kumnawaaa tu. Hajamgusaaa. Dada akanywa sumu. Pablo akazidi kupata jinaa. He became too much. Akiniona lazima anifanyie kitu tu cha kunidhalilisha. Nikashindwa kuvumilia, nikawaita kaka zangu na kundi lao kikao cha dhararuraaa.
Bwana Pablo hana lolooote, msengery tuuu. Mi ndo nilifanya yale yote na ndo nimemuweka kwenye ramani. Hawaniaminiii. Wanasemaaa jamaniii Pablo sio mtu wa mchezo mchezo sawa dada enu alifanya la mwazo na haya mengine mnayazungumziaje? Maana dada yenu hakuwa nae, na anafanya tukio juu ya tukio. Pablo sioooo. Nikawapanga kaka zangu, nikawapangaaa tumuambush kwenye mechi, afu watamjua hana lolote, he has no balls, he doesnt have what it takes. Wakakubali si wananiamini dada yao. Kama kawaida silaha zetu visu. Afu kaka zangu watu wa mazoezi.
Kama kawaida yake Pablo kakaaa Siti za kimvulini. Kuna mtu anampepea. Wapambe kibaooo. Tukamfata wote wa 3. Nikamuita Yooo Pablooo! Kaka yangu mmoja kulia mmoja kushoto kwake wote wana visuuu! Nikajua Pablo pale hachomiko mi niko mbele na wembe. Watu wakawa wanafatilia kwa ukaribuuu. Pablo akachekaaa sanaaa, nikajua ana front tu. Asiote Bastolaaa ni nini? Watu Pabloooooo! Pabloooooooooo! Pabloooooooooo! Baba yake polisi yule mjingaaa. Sasa anaumwa umwaaa, naona ndo akajimilikisha mguu wa kuku wa mzee wake. Kuhamaki kaka zangu washajikataa mda mrefuuu. Mi ndo bastola inanitazamaaa. Kujikataa siwezii. Nikaangusha wembe na kuweka mikonoo juu. Nilidhalilika sanaaa. Akaulizaa Who am I? Watu Pabloooo! Pablooooo! Basi anajikosha kutoa risala Pablo doesnt hurt women, namsamehe kiroho safiii na kaka zake nawasamehe cause wanashikwa akili na mwanamke. Watu woyooooo! Kaka zangu walidhalilika.
Wakanilaumu sanaaa kwanini sikuwaambia yule boya ana bastolaa. Nikawaambia trust me He is not who i thought he was, and i have made a big mistake big time. Tukimuona Pablo tujikatae tu. Pablo akawa Pablo haswaaaa. Roho ikawa inaumaa maan mi ndo nimesababisha. Kaka zangu wakawa nothing! Na mimi ndo nothing square. Maisha yakawa magumuu sanaa. Kwenye party hatualikwiii.
Akatuma kuwadi Pablo ananihitaji kimapenzi. Nikamwambia mwambieni aniuee kwamba afu ndo mwili wangu aufanye anavotakaaa. Hakurudisha majibu. Siku hio tuko home jioni tu, ikaja gari, Pablo hapo anaendesha gari ya mzee wake. Tukaka kimyaa. Akasema kaja kutafuta suluhuuu. Hataki vita na sisi. Tunamtazamaa tu. Hatukumjibuuu. Kajieleza kuna big plan ya helaa anatuhitaji. Bro akajibu hatutakiii. Alijitahidi sanaa ila sis ndo mioyo yetu migumu. Akaondokaaa.
Akamtuma Rhoda, aniite, nikamwambia siendiiii. Enjoy your bro is Pablo. Roda anaiambia mimi nataka kuendelea na bro wako ila Dee siku hizi sio mtu. He is wild! Like wild crazy. Nakwambiaaa. Namuuliza ana mademuuu? Anasema anakutaka wewe, sasa wewe si hutakiii. Roho ikanistukaaa, au nikawe Demu wa Pablo. Ila hapana ukute anataka kutuaibisha tenaaa. Nikamwambia sisi tunasikia bwana anabadilisha kama bukta zake. Akasema sio kweli, kaonja onja wachacheee sema ndo hivo ansema hawana akili. Serious anakutaka wewe. Mi nikagoma nje ila rohoni nikaanza kumtamani sio kwa u gangstar ulee. Pablo doesnt beg. Hatukukutana tenaa mpaka akaenda chuo.
Kwenda chuo, tukawa tushakuwa watu wazimaa. Wakavuma wengineee. Bro nae akaenda chuo. De kamaliza mi ndo nikaingia mwaka wa kwanza. Siku sina hili wala lile Dee kaniibukia home. Nikachekaaa tu, nikashindwa hata kununaaaa. Umri umeendaaa, priority zimebadilikaaa. Tukapiga tu story sanaaa. Mda wa kuondoka nikamsindikizaa, akaniambia anafanya kazi kiwandani, bado anannipenda na kunihitajiii, hopefully ya mda ule yamepitaaa. Sikumjibuuu, aibuuuuu.
Akawa anakuja kila siku, tunawasiliana. Siku ya siku tukaanza kukiss. Akanikaribisha kwake tukapeana mambo. Ndo akawa mtu wangu rasmi sasa. Tulipendana jamaniii, tulipendanaaa. Akawa anataka kunioa mwaka wa 2 hapo hapo chuo. Nikagomaaa. Akakubali kuniacha nimaliziea. Nimemaliza namkuta bado maisha hajayapatiaaa. He had a simple life, amepanga nyumba upande simple, anaenda kazini kwake simple, mshahara simple. Baba yake alifariki, so anasomesha wadogo zake.
All through dating ndo ile weekend, naend akwake, tunaangalia movies, maybe nampikia, tunapiga story, hivo simple life. I wanted bigger life, bigger world, bigger things. Nikaanza mimi kufanya bishara ya vitu vya ujenzi. D alikuwa Twiga cement. Natafuta wateja nanunua jumla nauza rejareja. Nikapata mashosti kwenye tiles na vifaa vingine vya cement. Nikaanza kupata hela ya maana D kalala tu anangoja mshahara. Nikamshawishi akacha kazi, tukawa tunafanya wote sasa business. Nikamuachia ile ya vifaa vya ujenzi nikahamia kwenye viatu kariakoo. Nanunua nawauzia wabab facebook. Kidogo tukawa watu sasa.
Dee ndo kungangania ngangani tuoaneee. Haskii nini wala nini. Anachotaka yeye ndoa tu. Naona aliona ataporwaaa mimi akiendelea kuzabuaaa. Tukagombana kidogooo tu cha kawaidaaa. Katika huko kugombana nikakutana na baunsa katoka jela ana hela hatariiii, ana gari. Nikawa niko nae kumkomoa tu Dee na kumrusha roho. Heeeeee! Ndo kusikia Dee kaenda Kinshasa. Baunsa alikuwa tu mshakajiii, kitambooo sanaaa. Na nikagundua ni jambazi la kutumia silaha nikakakta nae mawasiliano.
Katika mambo ambayo i regret ni kutokuzaa na Dee. Saivi mtoto angekuwa mkubwaa. Alafu ingekuwa mwakeeee sanaa. Ndo basi haikutokeaaa. Nikawaza miaka mi 5 ijayo nitajutaaa kutokuzaa na msomali leo. Kwanza msomali nitazaa vitoto vizuriii kama vya Eva. Afu pesa ninayooo, tatizooo linalo nifanya nisizae sahivi ni nini? Nikawa sijielewiii. Yaaani sijielewiiii.
Msomali nilikuwa simsomi, hali ilivo alikuwa amekaa kuondokaa ondokaaa jumlaaa jumlaaaa simsomiii. Na mimi nikawa nimemzoeaaa. Miaka mi 2 naishia nae. Afu his life was empty, so empty maskini, mi ndo baba yake na mama yake. Ndo kila kitu kwake. He has no one. Afu ndo namdisappoint kila siku. He is trying so hard. Nikawaza maybe i am being selfish sababu mimi nina familia, nina wazazi, kaka zangu, Feisal, he has no one. Mdogo wake wa kike ndo huyo yupo marekani anasomaa, wa kiume walipotezanaa, alizamia South haijulikani yuko wapi wala anafanya nini. Anamuwazaga sanaaa.
Labda ndo maana antaka mtoto maskini kuendeleza familia yao. Nikamuonea hurmaaasanaaa. Ila nikawa sijaamua. Nimerudi home ananipa habari anaenda marekani, mdogo wake amepata mtu anaolewaaa na msomali mwenzao. Kampigia akachukue mahari na kutoa idhini. Nikawaza harudiiii huyu mjingaaa. Nikamwambia twende woteee baby nakusindikizaaa. Akafurahiii sanaaa.
Usiku huo huo, yuko busy anaongea na ndugu zake kuhusu hio harusi, na mambo ya Visa. Visa ikanizindua usingizini. Nikaenda kuoga. Nikarudi bila nguo. Yupo kwenye simu group call, wanaongea kisomali, nikaingiza mkono kwenye boxer na kuanza kuchezea mali zangu. Kukata simu hawezi mama zake wale wake za baba ake mdogo wanamuelekeza mambo muhimuuu. Mi nambusu mbusu shingoni huku nachezea mali zangu. Zikawa zinasimamaaaa. Bado yuko kwenye simu. Sema sasa ndo amenogewaa anabaki mmmmmhhhh! Kuitikia tu. Na mimi nadili na kichwa tu cha babuuu. Macho yamemlegeaaaa sio kidogo. Akawaomba atoke kwenye hio conference call, akatukanwaaa, harusi yake afu anamaanisha nini anataka kutoka.
Na mimi ndo nikashuka chini na kuanza kushika Mic, uzalendo ukaanza kumshindaaa, sikumkomesha sanaaa. Nikamuacha na kurudi juu kumshikisha mkono kwa bibi kama mvua imenyeshaaa. Alivomsheziii akaanza kuchezeaaa tenaaa. Anajitia mambo haya anayawezaaa. Ndo akazidi kunivurugaaa. Nikampandia juuu, jicho likamtokaa akajua nachotaka kufanyaaa. Kila akiaga kwenye conference anarudishwa anaambiwa aache upuuzi kila mtu ana kazi ila hilo wanaloongea la muhimu. Nikamkalia kweliii. Bahati yake nilimuwahi kumnyonya mdomo angetoaa kilio cha mahaba kwenye conference call. Nikaikata ile simuuu. Na kuizimaaa. Hapo kadataaaa, hatariiii. Lawama baadae. Niko juu najipimia mwenyeweeeeeee mwanzo mwishooo. Basi akawa ananishika kiuno anishushe niikalie yooote. Weeeeeee! Weeeee! Kila akifanya jaribio nalikwepaaa, ikabidi tu aniombeee. Baby kwani bado hujanizoeaaa usifanyeee hivoooo. Usinikwepeee. Akanikumbusha enzi za Dee mshezni nae ana mzigo sio wa kitoto, afu nilikuwa mdogo ananipelekea wote wotee nihangaike nao. Msomali alikosea mwanzo kunianzishia mzigo passport size. Sasa mambo ya Dee ya full picture sio mchezoo.
Akawa anaibembelezaaa, mpaka nikalainikaa, na kukubali full zigo. Nilikubali ila cha moto nilikionaaa. Kiranga chote cha kukaa juu kilinitokaaa. Sema mjuziiii. Alivoona mzigo umenishinda nguuvuuu akawa ananisadiaaa. Ila i could tell ali enjoy sanaa ile mechiiii, sanaaaa. Na hapo badooo. Haachwi mtu, hii safari ya amrekani na deal nayo paeprndicular. Kakomaa mpaka mchezo ukaisha nfasi ile ileee. Nilichookaaa ndugu msomajiii. Woman on top sio style ya kushobokea especially kama uko na jitu lenye mzigooo. Unaweza jikuta unapoteaaaa. Kwa wananume oyaaa oyaaa mwanamke unakiona cha kamasutra. Tukajilaza hoiiii.
Nikamwambia baby nimekubali kukuzaliaaa! Wacha afurahiii. Akataka tena woman on top, weeeeeeeeeee, nikagomaaaa. Kwa uchov ule nikampa tu kifo cha mende. Japo nayo ilinogaaaa hatariiii. Kuja kuwasha simu kakuta matusi ya ksiomaliiiii ya kutoshaaa. Kwenda kwenye Visa yeye kapata mi nikakosaa. Nilipanic sio kidogo. Nikawa najua hawezi kurudiii. Nikajuuta kutokumzalia mapemaaa. Nikaanza kusaka mimba kwa fosi sasa. Na kama mnavojua ukiisaka mimba ndo haingii ngooo. Kila nikipima bila bila. Na safari inakaribi. Mpaka leo safari mchana nimepima kitu NEGATIVE bila bila. Nikawaza mimi najilipua namwambia nina mimba yake potelea pote. Muhenga aliesema liwalo na liwe hakukosea. Mi najipakazia mimba.
ITAENDELEAAAAAAAA.