Weekend Story! Glory Be To God!

Weekend Story! Glory Be To God!

Stress ni pale unapomwambia msomali aje na lara hajaleta mzigo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haaa Wee thubutu kukutwa mama utaimba halleluya mbona! Watu wana mitambo jamani mweh! afu hio nusu nusu yoteeeee inanoga kinoma nomaa [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Mahondaw wa Smart911
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani wewe
 
Naona tu mheshimiwa anavyo kupembejea akufisadi...kwani wewe hauna aunt? espy anamlinda aunt wa Shunie hautii neno. Ana audit kila kitu, ofline, online, ground, air, sea..tafuta aunt. Ila cha ajabu bado Shunie kaanzishiwa thread..ngachoka!
Aliyenianzishia ndio mume baba yeyoo jaman ndio mana auntie yangu anakuwa mkali
 
lara jaman mchana si ndio huu au msomali bado anaendelea kukupa show ya kibabe
 
Alafu inabidi mfahamu, sio kama Dee anampenda sana Sally like amefall kiviile!

Basi tu, anataka akumbushie one time. Na kupooza machungu ya kumwagwa kipindi ramani hazijasoma!



- KANA -
Kwa kujitetea tu haujambo sweet darling.
 
Back
Top Bottom