Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Teh hivi navyotype tayari sally mate machungu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na lara anavyompenda sasa, utashangaa katubadilikia kuwa sally kakubali kumzalia.
Teh hivi navyotype tayari sally mate machungu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na lara anavyompenda sasa, utashangaa katubadilikia kuwa sally kakubali kumzalia.
Afwariki tuOhoooooo!!! Usifanye -KANA- akajinyonga.
Hahahaaa!! Na arudi tu congo.Afwariki tu
I can turn you on, ila usimwambie MTU!Dahhh apa nimechelewa kuja nikijua ntakuta kitu tayari kumbe amna... Imeni turn off balaa..... Anyway good night everyone
Sure sweetheart!Dah... I don't know.... Do u have any idea?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄
mahondaw , espy , Shunie , kana , Tarime one , PSNO , carbamazepine huku mambo leo ni jaza ujazwe...xxxxxx la jana limemchanganya director na yeye ana practise ndugu wasomaji..tuwe wapole.
Hebu lala we mtoto!!
Kesho XX Mchana
Kisebengo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi mchana si unaanza saa hiz au mi nina kiherehere?
Nimeisoma niko lunch narud nimebana miguu lara gaidi sana[emoji23][emoji23]Yaan we acha ...nimepata ugwadu ghafla!
Msomali noma[emoji86] [emoji86]
Sent using Jamii Forums mobile app