Haha mimi ili mradi tu #Littlethingsmatterthemost#, wakikubaliana kufugana shauri zaooooooooUmesemaaa??unamuunga mkono msingi kiuno??
Kwenye#littlethingsmatterthemost#mimi ni mdau kabisa lakini anachokifanya msomali hapana...mwanaume hajiamini kama nini sijui[emoji23][emoji23]subiri nisome upepo nichague teamHaha mimi ili mradi tu #Littlethingsmatterthemost#, wakikubaliana kufugana shauri zaoooooooo
Lara alisema next story anatumia majina ya watu humu jiandae kupambana na MOTP au msomali au hata baba winnieHahahaaaa!! Mimi bado naangalia upepo.
Haha me ndo nishaamua kuwa naye through thick and thin. Afu msomali atakuja apige deal moja hatareee, mtamuheshimu tu lol[emoji125] [emoji125] [emoji125]Kwenye#littlethingsmatterthemost#mimi ni mdau kabisa lakini anachokifanya msomali hapana...mwanaume hajiamini kama nini sijui[emoji23][emoji23]subiri nisome upepo nichague team
Dota hadi wewe!!! Kweli msomali sio mtu mzuri kabisaaaa!
[emoji2][emoji2]subiri aishie kama siza ndo mtaelewaHaha me ndo nishaamua kuwa naye through thick and thin. Afu msomali atakuja apige deal moja hatareee, mtamuheshimu tu lol[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Teh unawajua wasomali walivyo na roho ngumu?[emoji2][emoji2]subiri aishie kama siza ndo mtaelewa
Whaaaat!! Hope mie sitokuwemo.Lara alisema next story anatumia majina ya watu humu jiandae kupambana na MOTP au msomali au hata baba winnie
Kuna namna sio bure!! Huyu msomali atakuwa na kizizi.Haha me ndo nishaamua kuwa naye through thick and thin. Afu msomali atakuja apige deal moja hatareee, mtamuheshimu tu lol[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Namuombea anguko tu maana hamna namna.[emoji2][emoji2]subiri aishie kama siza ndo mtaelewa
#Littlethingsmatterthemost#Kuna namna sio bure!! Huyu msomali atakuwa na kizizi.
Hahaa naona mahaba yamekuzidi aiseeh...ndio wanaroho ngumu lakini watafutaji sio kama huyuTeh unawajua wasomali walivyo na roho ngumu?
Subiri next stori tuWhaaaat!! Hope mie sitokuwemo.
Sasa mnataka msomali afanyaje? Hela hana, na kiuno kimshinde pia jomoni? Teh kaamua apambane na hali yakeHahaa naona mahaba yamekuzidi aiseeh...ndio wanaroho ngumu lakini watafutaji sio kama huyu
Maana sio kwa kususiwa huko lol!!!#Littlethingsmatterthemost#
Haha msomali anafanya watu "wamsusie"
Hahaa kuomba maanguko niliomba story iliyopita ila hayakufanya kaziNamuombea anguko tu maana hamna namna.
Naona mahaba yamekukolea kweli[emoji2][emoji2]naona na sally alisusa mwili mechi ya jana#Littlethingsmatterthemost#
Haha msomali anafanya watu "wamsusie"