Weekend Story! Glory Be To God!

Weekend Story! Glory Be To God!

Wanaume wa safari hii wananiangusha sana, wanawake ndio kabisaaaa. Sijui hata yupi ana unafuu. Lydia alinikosha kidogo ila kaniangusha kumshobokea msomali.
Lidya naye ovyo tu...tusubiri huko mbele mambo yanaweza kubadilika labda
 
Nyooo!

We team Sally!

Usijidai kumkimbia kisa kaingia gym amnase msomali.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Unaloooooi

- KANA -
Hahahaaa!! Hapana kwakweli bado sina team.
 
Back
Top Bottom