Kadada
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 201
- 207
Duh maskini Dee kumbe ujanja wote ilikuwa ni hela za nguvu za Giza. Bora Mungu kamkomboa kutoka mwenye mikono ya mwovu shetani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakukamatwa, alisema tu atakamatwa. Sasa baada ya kuhongwa karudi kuliendeleza, subiri tu uone msomali atavyosafishwa.Ebu niambie bada ya msomali kukamatwa Lara si alisema mwisho au iliendelea tena
Mmh ukute alimtoa mtu kafaraBora yeye hakuua mtu ili apate mali(of which haijaelezwa) ila alshabab tunajua wanachofanya.
Si umeshaelewa eeh?Ebu nielewesheni jamaan![]()
Mfyuuuuu zenu!!
Teh dua la kuku. Dooh nyie watu nimewaogopaaaSamaritan ashafanya yake.
Ila alshabab sio wa kuogopwa?
Hata msomali atakuwa kalumanzila tu plus ugaidi juu.
Dua la kuku as mnajua mlichofanya eeeh!!!Teh dua la kuku. Dooh nyie watu nimewaogopaaa
Nimeelewa ya leo kali imekuwaje kuwaje kwaniSi umeshaelewa eeh?
Nani? Au kuna kipengele mlisahau mnataka kiongezewe?Mmh ukute alimtoa mtu kafara
Pole ya nini sasa?Aiseee pole sana Dee
Imekuwa hivyo hivyoNimeelewa ya leo kali imekuwaje kuwaje kwani
You guys are too much khaaNani? Au kuna kipengele mlisahau mnataka kiongezewe?
Mmeua watu wengiiii hivyo mnatafuta kulevel eeh!!!
Semeni kama kuna kipengele mlimueleza ila kasahau hajakiweka vizuri nyie wauaji wa waso hatia.You guys are too much khaa
Haha team vyungu na makombe mna ngengeSemeni kama kuna kipengele mlimueleza ila kasahau hajakiweka vizuri nyie wauaji wa waso hatia.
Hatujazidi ngenge za wauaji wa mamia na maelfu. Kunyongwa ndio kunawafaa, heri sie ni maombi tu as serikali haitambui uchawi. Na ndio tushajisalimisha kwa Mungu alie mkuu wa yote. Haleluyaaaaa! Glory be to God.Haha team vyungu na makombe mna ngenge
Mmh hata sisi tutatubu kwa Allah, ila nyie soon ungesikia Lorraine kawa msukule khaaHatujazidi ngenge za wauaji wa mamia na maelfu. Kunyongwa ndio kunawafaa, heri sie ni maombi tu as serikali haitambui uchawi. Na ndio tushajisalimisha kwa Mungu alie mkuu wa yote. Haleluyaaaaa! Glory be to God.
Baada ya Lara 1 kumaliza story, then from no where akaibuka na kusema inaendelea, I knew what was coming ahead!
You guyz just stole our victory and it ain't fair. You robbed our victory!
Masaa mawili naangalia tu nashindwa nicomment nini!
Tumewashinda uwanjani, mkaenda kutafuta point mezani. I'm having a bad day and it's all thanx to you!
Any way, no matter what happens there are two words you'll never hear, KANA QUIT!
I STAND WITH DEE
- KANA -
Fanya unavoweza mama, ushanila mchuma mboga sina namna. Ila team Dee sihami!JOMONIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII MY KANA! You broke my heart really!
HUU USHABIKI WENU TEAM DEE NA MSOMALI UMEKUWA WA KUKATA NA MUNDU!!!!!!!!! MPAKA NAOGOPA SASA KUENDELEA MAANA MSHAANZA KUHARISHAA HUMU, STORY IKIISHA HAPA SI PATAGEUKA MOGADISHUUU.
DAWA YENU NI KUWALA VIBOGA WOTEEE SIO TEAM DEE SIO MSOMALI MUONDOKE KIMYA KIMYA.