Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,448
- 176,419
Mshaurini msomali ajisalimishe kwa gwajima amuamshie dude mapemaaaa.Ila haumshukuru Mungu kwa nguvu ya maombi Dee kaanza kupona? Sie team Msomali hatima yetu bado haijulikani ndugu msomaji. Naona B anataka kuja kuweka mambo hadharani kwamba Baba Huddah guantanamo inamhusu..unafikiri itakuaje? Kwa mbaaali naona kabisaaa kismas cha Dee na Sally sio cha nchi hii.
Alafu hebu kati yenu aloiba avatar ya mwenzie arudishe, mnatuchanganya. Sijui mlikubaliana na lara 1 au ni part ya deal la kumsafisha msomali ila its anoying.
