Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,437
- 176,390
Lets wait and see, ili tutie muhuri kabisa.Msomali hafanywi kitu utaambiwa katoroka na sally na mtoto wao wameenda kusikojulikana na B kaamua kurudi kubeba box
Lets wait and see, ili tutie muhuri kabisa.Msomali hafanywi kitu utaambiwa katoroka na sally na mtoto wao wameenda kusikojulikana na B kaamua kurudi kubeba box
Acha tu tusubiriLets wait and see, ili tutie muhuri kabisa.
Tusubiri tu tuone mwisho.
Sasa mchawi na gaidi wana tofauti gani?Magaidi yanayochinja watu bila huruma wala hatia hamyaoni wala kuyatumia moto. Kweli maisha bila unafiki hayaendi!!
Mama nenda kalale tu mana naona mshamuhonga director stori inaenda mnavyotaka,mfyuuuu zenuHahaha haki team karumanzila mmejua kunichekesha



Tumemuhonga wapi jamani, nyie pambaneni tu na vyungu vyenu hahhaha jomoniii wanaume wengine ni wa kuwaogopa. Hawakawii kukufanya msukuleMama nenda kalale tu mana naona mshamuhonga director stori inaenda mnavyotaka,mfyuuuu zenu![]()
Toka hapaTumemuhonga wapi jamani, nyie pambaneni tu na vyungu vyenu hahhaha jomoniii wanaume wengine ni wa kuwaogopa. Hawakawii kukufanya msukule


nyie si mmemnunua fanani awape point za mezaniHahaa bora msomali anakufa kiume na ugaidi, ila Dee khaaa sikutegemea.Toka hapanyie si mmemnunua fanani awape point za mezani
Mlijiuliza Congo alifanya mishe gani mpaka kurudi na mihela???Baada ya Lara 1 kumaliza story, then from no where akaibuka na kusema inaendelea, I knew what was coming ahead!
You guyz just stole our victory and it ain't fair. You robbed our victory!
Masaa mawili naangalia tu nashindwa nicomment nini!
Tumewashinda uwanjani, mkaenda kutafuta point mezani. I'm having a bad day and it's all thanx to you!
Any way, no matter what happens there are two words you'll never hear, KANA QUIT!
I STAND WITH DEE
- KANA -
Kwaniii hii si iliiisha au mm ndio sielewi jamaan mpaka msomali kakamatwaKuna mtu anampandia dau aandike anavyotaka yeye si bure
Naona dalili ya msomali kusafishwa
Yaani nimejikuta nakosa mzuka wa kuendelea kusoma tena![]()
Auntie hii si iliisha jamaanLets wait and see, ili tutie muhuri kabisa.
Ebu nielewesheni jamaanHahaha haki team karumanzila mmejua kunichekesha

Ebu niambie bada ya msomali kukamatwa Lara si alisema mwisho au iliendelea tenaSubiri Lara atakupa jibu!
- KANA -
Bora yeye hakuua mtu ili apate mali(of which haijaelezwa) ila alshabab tunajua wanachofanya.Sasa mchawi na gaidi wana tofauti gani?
Mfyuuuuu zenu!!Hahaha haki team karumanzila mmejua kunichekesha
Kazi ipoi mebidi nirudi nyuma kumbe story imeendelezwa ndio mana nilikua sielewiTukajua mpo kwenye mazungumzo kama yale ya makinikia mmejifungia.
kana Tarime one Heaven Sent Shunie carbamazepine mahondaw CHOKAMBOVU Kadada Emojis Pricillah JembePoli Qurie moneytalk lazalaza na hazelyn
kaeni mkao wa kula.
AiseeeeeJAMANI NIMERUDIIII! NILITEKWAAAA NA ALSHABABU KWA KUWANYIMA USHINDI WA MEZANI. NDO NADONDOSHA VYUMA HAPA



Hata msomali atakuwa kalumanzila tu plus ugaidi juu.Hahaa bora msomali anakufa kiume na ugaidi, ila Dee khaaa sikutegemea.