Weekend Story! Glory Be To God!

Weekend Story! Glory Be To God!

Jamani ndugu wasomaji kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu story hii imeishia hapa. Kila mtu amalizie mwisho anao upendaaa. Tukijaliwa nitakuja kuimlizia ila kwa sasa nimebanwa sanaaa.

Acha mimi niimalizie,

Baada ya kutolewa nje uchi, Sally anahama anaenda kuishi kigoma.
Msomali anakamatwa na uhamiaji kwa kufoji uraia.
So, picha linaisha akiwa amebaki steringi mmoja tu, Dee Pablo Escobar!

Heshima kwako Lara 1, najua umeogopa kuambiwa umeuza mechi!

- KANA -
 
Nilichojifunza kwa Dee na Sally kumbe dhambi ya usaliti wa mapenzi ukimuungamia Mungu inatosha....katu usimuungamie mpenzi wako.
Kabisaa ukimu ungamia mtu lazima akumbeto kama dee alivo fanya unajua inauma eeee
 
Jamani ndugu wasomaji kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu story hii imeishia hapa. Kila mtu amalizie mwisho anao upendaaa. Tukijaliwa nitakuja kuimlizia ila kwa sasa nimebanwa sanaaa.
Jamani Dada mkubwa tumalizie tuu ivo ivooo
Au kuna waliopredict ukweli
 
Back
Top Bottom