Weekend Story! Glory Be To God!

Weekend Story! Glory Be To God!

Dee kanisikitisha sana sio kwa kumfanya hivi sally hata kama ilikuwa ni hasira[emoji24][emoji24][emoji24]kumtoa uchi tena mbele ya watoto hapana hapa Dee umekosea...
Ila wale wa baby namba 2 mpo??mimba inaendeleaje?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nacheka kama mazuri vile
 
Thank u lara 1 !ungejua jinsi huwa nasubiria hii story ungenionea huruma.,,,I simply love your writing skills
 
Nikuhudumie wewe, nimhudumie mwanao ambae babaake alisepa kwenda kula ujana. Then tugombane kidogo ukampe mechi eti unikomoe?

Hata mimi nakutoa nje uchi!
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]

- KANA -
 
Wewe mbona kutwa kuchepuka na kina chiku ndala ndefu? Kwani ukimuhudumia mtu financially basi ni ruhusa kumuabuse emotionally? Mkuki kwa nguruwe eeh
 
Wewe mbona kutwa kuchepuka na kina chiku ndala ndefu? Kwani ukimuhudumia mtu financially basi ni ruhusa kumuabuse emotionally? Mkuki kwa nguruwe eeh
It's a simple fact!

Kama umekubali huduma, nikubali na mimi. Sio huduma kwako na mwanao iwe tamu ila unione kunguni.

Cheating is bad, but cheating with msomali is worse and unforgivable!

- KANA -
 
Back
Top Bottom