Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hasira hasaraNi hasira tu!
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
- KANA -
Hata mwenyewe nashindwa kuwaelewa hawa watu...Kwahiyo kipimo cha uanaume ni kurudi kufata mtoto au kutokuchepuka?
- KANA -
Kipimo chao cha uanaume kinachagua[emoji23][emoji23][emoji23]chenyewe kinapima kwa Dee tu[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji1] [emoji12]
Wakati tunamtunza mwanenu mbona hamkusema kwamba Dee kidume?
Wakati tunahangaika na Kuhudumia Sally mbona hamkusema?
Wakati msomali anachukua bibi kizee mbona hamkumvua uanaume?
Au uananume wa Dee ndo unavulika?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Next time Sally akijichanganya tutamburuza mitaani. Hatutaishia sebuleni.
- KANA -
[emoji23][emoji23]kweli nyie hamfadhiriki khaa!Ukidume wa kumtelekeza mkeo na mwanao kisa papuchi?
Bado mna hamu na mtoto wa 2 au hamu imewaisha mafanani wasaidizi. Darasa la story telling now will be the best moment for baby numero 2. Too much suspension wa Dee au wa Msomali? Haya sasa nipeni mwongozo tunaendaje.Turudie cycle au tuchanje mbuga?
Kuwa fanani sio mchezo mchezooo kujua mwisho wa story ni kunitukana fanani.
Kuna kaukweli apaOgopa sana kurudiana na MTU uliemuumiza.
Nilikuambia Dee ni mtoto wa mbwa hukuamini. Nikashauri sally arudi kwa msomali anajifanya kashonwa nyuzi Tisa msomali hakuwepo. Sasa mwaizaya dee kamfanya hamna sasaDee kanisikitisha sana sio kwa kumfanya hivi sally hata kama ilikuwa ni hasira[emoji24][emoji24][emoji24]kumtoa uchi tena mbele ya watoto hapana hapa Dee umekosea...
Ila wale wa baby namba 2 mpo??mimba inaendeleaje?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nacheka kama mazuri vile
Mfadhili mbuzi. ...[emoji23][emoji23]kweli nyie hamfadhiriki khaa!
[emoji23][emoji23]bora mmejitambuaMfadhili mbuzi. ...
[emoji23][emoji23][emoji23]tuacheni na Dee wetu bhanaNilikuambia Dee ni mtoto wa mbwa hukuamini. Nikashauri sally arudi kwa msomali anajifanya kashonwa nyuzi Tisa msomali hakuwepo. Sasa mwaizaya dee kamfanya hamna sasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Lara 1 umeniweza kinyama! Juzi kati kademu kangu nimekaambia kawe kananiita Dee, akataka sababu nikampa link ya Jf afu vile umemfanya Dee kwenye hii epsod sina hakika kama demu wangu atanitaka teeeena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole KLM tunaeewa situation Sio kwa shughuli pevu ya Jana ya Msomali, Leo pumzika jipange Kwaajili ya kesho kuliamsha dude mpaka tupagawe.Leo bila bila tukutane kesho