“Gentlemen, you can't fight in here! This is the War Room!”
Basi akwa anajishauri aende au asiende huko kwa Designer. Sasa designer anazidi kumtia chumvi, nitakufanyia mpango kama kina Daxx uende S.A au U.S ukapige helaaa ndefuuuu. Sio kukaa bongo na kulost. Mimi ndo fashion industry tz na fashion industry ndo mimi. Fanya uje Masaki tuonge in details, i will have the contract ready.
Akanishauri niende au nipotezeee, nikamwambia whats do you mean upotezeee? In this life we get few chances if you dont grab those chances by the balls you will end up wondering how you become second rated. Nenda tu, kwani unachoogopa jini labda? Kitu gani maisha hayo yako hukijui au hujapitiaaaaa?
Acha uboya, uzee waja na haupo mbali, kesho tu we will be 30, and everything will be over! Bora uende ukajua whats up! Kataa wito usikatae maneno. Akaniambia roho inakataa kabisaa, sijui kwa nini. Nikamwambia we endekeza roho, mwili ukisikia njaa sanaa roho ndo ya kwanza kutoka.
Nikimwambia think abt S.A, think about Daxx anza kwanza kumfollow! The nigger is bailing, living larger than life. Mara barbecue, mara sijui nini, umeona anvaa genuine jordans, hadi Airmax aliovaa juzi juzi ni genuine ile, no fake zone, hand piece umeina? Embu google hio saa afu ndo utaelewaaa. We kalisha kende hizo hapa mjini, zinapigwa vumbi weeeee, miaka nenda, miaka rudi. Uzeemi utaishia kiwaza tu.
Akaamua kwenda. Basi akamcheki kwenye namba aliomuachia insta sms. Akamwambia nipo jmosi njoo peke yako, akampa adress, uje na portifolio yako, kama huna passport fanya uanze kuiomba hio passport. Mmmmmh! Kajiandaa full nondo kuelekea Masaki sasa. Nikamwambia fingures crossed utafanikisha.
Kufika kule kamkuta designer kavaa bathrob tu, anamkaribishaa kwa bashasha. Karibu mpaka ndani. Anakwambia the desihner is libing large. Hio chandelier celing piece ni hatariiiii, utadhani paa zinafungukaaaaa. Ni nomaaaa. Basi akawa kakaaa, akaambiwa leta hio portifolio. Akaanagalia.
Akapanda juu karudi na chupi tu, mmmmh, akaanza kushtuka kwanza. Mkononi ana camera, akamwambia i need to take photos of you, naked photos nijiridhishe kama huna stretch marks. Wengine mnaji photoshop sanaaa. Mmmmmmmh! Akaanza kuingia woga sasa.
Akakataaa, akasema kama ni hivo basi yeye hataki, he wants to go home. Basi designer anamwambia unaogopa nini, mambo ya kwaida baby wangu, mbona unakuwa kama mtoto. I can give you life you never imagined, mamodel kibao nimewatoa mimi walionesha ushirikiano. Just do me, we good next conversation wil on a plane you heading S.A. Jasho likamtokaaa. Akasema leo lelo ndo leo.
Basi designer anasema mimi mzuriiii, look, enzio kibao wananitaka mimi tu nataka wanaume cuteee. Anataja majina makubwa makubwaaa ya watu nchini humu. Loooooohhhhhh! Ni hatari sanaaa. Sasa designer akawa kakasirika kapanic mbayaaa akapanda juu chumbani karudi na bastola mkononi.
Anakwambia alivomuona kwenye ngazi akakimbilia mlango, akakuta umefungwaaa. Chupi ikambanaaaaa, kaloa jasho mwili mzima. Designer kafika na bastola yake. Ikabidi sasa awe mpole. Anamwambia ulikuwa unakimbilia wapi? Ikabidi awe mpole sasa. Akaona leo analishwa duplicate kinguvuuuu. Duplicate ya mwanaume mwenzie.
Ndo kupata wazo ajiongeze, akamwambia okay ill do you but i want money. Like 1m. Bure sitaki. Akamwambia sio kesi 1m iko. Akamwambia twende on the poolside umenitisha sanaa na bastola yako, i need a swim first to calm down. Akawa kakaa. Akamwambia ukikimbia nakulima shaaba. Sitohesitate, usinichezee. Anamwambia mi im in for the money kwanini nikimbie?
Akafungua mlango ile wametoka kwenye pool, alitoka baruuuuuuu, akawa anasikilizia risasi ya mgongo arest in peace basi. Bahati yake alikiwa anatishia tu. Kifika kwake jasho linamtokaaaa. Alitembea toka Masaki mpaka kwake. Maana wallet aliiacha ndani. Hakuja kazini siku 3.
Hata alivorudi akawa mdogooo, hajiamini anstuka stuka. Hamad! Nikajua kakomaaa, mxiuuuuu. Kama kawaida. Basi wakwwa wameshindwana na wazungu aka resign, so haji ofisini tena na story zikawa haziji.
But yupo mtaani kwako, anaendeleza libeneke.Ukimuona usoni kama mtu moyoni hana utu.
THE END.