Weekend Story! (Diaspora Vs Struggling Model)

Weekend Story! (Diaspora Vs Struggling Model)

mkuu usidandie gari kwa mbele. her being a woman does not mean she suffers no consequences.
Hahahahaaaa! Me being a woman means YOU SHOULD GROW SOME BALLS FOR CRYING OUT LOUD AND HANDLE YOUR EMOTIONS
 
Usidandie gari kwa mbele? Sounds so childish! Jaribu kuchagua maneno unapoongea na mtu ambae hakukuprovoke. Najaribu kuelewa kwanini mwanaume mkamilifu, awe na chuki kubwa kwa mwanamke kiasi cha kumwandama kama vile....sijui hata Niiweke katika lugha gani ili ieleweke bila kueleweka tofauti na navyotaka ieleweke.
It happens yeye ndio mwanaume pekee alieguswa lakini bado yuko busy kumjibu mleta post...
I think he is a fun but he is in denial,hata yeye atakuwa hajajua hilo
 
Lara nilikuwa nasubiri bad ending ya K....ila mwisho kwanini asingemla designer hapo kaniboa,he could be living big now
i guess designer is a man........would u say the same knowing 'designer' is a man?
 
i guess designer is a man........would u say the same knowing 'designer' is a man?
Yes,that's what I meant...
For God's sake the guy has been through a lot,don't tell me kummalizia huyo moja could be a big deal...
 
Yes,that's what I meant...
For God's sake the guy has been through a lot,don't tell me kummalizia huyo moja could be a big deal...
Seriously?? its not a big deal being gay?? I think a man can shag 1000 women.... but a man bonking a man....thats another issue!
 
It happens yeye ndio mwanaume pekee alieguswa lakini bado yuko busy kumjibu mleta post...
I think he is a fun but he is in denial,hata yeye atakuwa hajajua hilo
Its so boring kwa kweli, kwani ni lazima upendezewe na kila thread inayopostiwa humu? Mbona huwa tunapuuza tu thread zusizotupendeza au kama ukiguswa unacomment kistaarabu tu, sasa nashangaa issue ndogo inakuwa kama world war! Kwanini jamani?
 
Hahaaa siyo sikuamini sista, najua wasio kunywa wala kuvuta wanavyochukulia na jamii yetu ndo maana
Basi me nawachukulia tofauti kabisa. Maana kuna watu wanakunywa balaa na still zile mambo wanapiga hataree.
 
Seriously?? its not a big deal being gay?? I think a man can shag 1000 women.... but a man bonking a man....thats another issue!
As long as he ain't the bottom what's the matter..the dude could still be doing the same to ladies..anyway maybe haya mawazo yangu ni sababu mwanamke siwezi kuelewa the other side but I feel he missed his shot big time...
 
Hahaaa kila mtu anadai yumo mwishowe itakuwa ya wengi sasa, teh!
Hahahaa mimi nawapambia tu hapa,najua vitu adimu kama hivyo wadada huwa wanavitafuta kwaio mnajiongezea credits
 
Its so boring kwa kweli, kwani ni lazima upendezewe na kila thread inayopostiwa humu? Mbona huwa tunapuuza tu thread zusizotupendeza au kama ukiguswa unacomment kistaarabu tu, sasa nashangaa issue ndogo inakuwa kama world war! Kwanini jamani?
Hajalazimishwa kuwa humu ila kakomaa na lara toka asubuhi,hajishtukii watu tunampita tu..
Too much obsession..
 
Sasa nimeona umuhimu wa kumufolo kubwa la maadui..... Huu uhondo ulinipita hivi hivi mazeeee...... Ayeiyaaaa bring it on........
 
Hizi story miendelezo yake mpaka tuje PM kukubembeleza?
Lala 1 usitufanyie hivyo ukianzisha unaidondosha yote nzima nzima
 
Back
Top Bottom