Obviously nimo kwenye hiyo list ya wachache, teh!Doh so are you proud of it?
Kuna wachache I can argue, hawanywi hawavuti and wametulia,wachache lakini....
Hahaaa hope utapata na mtongozo wa kwemye ndege kabisaaa!!Teh kwa nini nisiweze, nyie ambao hamjaishi magharibi kunielewa itakuwa kazi kwa kweli. Mkaage tu na class yenu maana hamkawii kuniomba namba
Afu kumbe na wewe hunywi pombe wala kuvuta sigara, naona unagonga tu like?
Hahaha levels baby levels, me wa angani tuHahaaa hope utapata na mtongozo wa kwemye ndege kabisaaa!!
Huoni nimejiweka mwenyewe kwenye list sista....ahaaaa kusubiri kuwekwa mchezo watu mlivyo na roho ngumu kusifia! Halafu huwezi amini hadi vile vingine pia sili, teh
Mmh naona aibu kumtajia sistaangu, loh! we rudi mwenyewe kusoma comments za watu kisha connect dots, tehHahaha levels baby levels, me wa angani tu
Teh mwaka huu hasifiwi mtu, hivyo vingine usivyokula ndo vipi?
And why would you waste so much time and energy on arguing with a woman? I'm just curious!kumbe kweli we ni mgonjwa, na hicho kiingereza nashauri rudi shuleni. why use so much energy in replies? unaogopa nn??!!!
mschana, utaishia pabaya...angalia thread yako ya mwisho isije kuwa "kuna watu wananifatilia"! nchi ina wenyewe hii.Ndo ujiulize sasa. Una uhakika wao hawana tundu
Lara nilikuwa nasubiri bad ending ya K....ila mwisho kwanini asingemla designer hapo kaniboa,he could be living big nowImeluacha MDOMO WA WAZI na akili imeshaja sumu, unajuuutajeeeee kuisoma! Hahahaaa! Mambo kibao hukuwahi hata kuimagine kama yapo.
mkuu usidandie gari kwa mbele. her being a woman does not mean she suffers no consequences.And why would you waste so much time and energy on arguing with a woman? I'm just curious!
Hahah hii list ya wachache imekua nongwa..kaka na wewe upo kati ya wachache,hongera..Obviously nimo kwenye hiyo list ya wachache, teh!
Hahah hi list ya wachache imekua nongwa..kaka na wewe upo kati ya wachache,hongera..
mkuu usidandie gari kwa mbele. her being a woman does not mean she suffers no consequences.
Hahaha na mimi naona aibu basi coz nimeelewa ulichomaanisha. Ila me nawafahamu watu wa aina yenu wengi tu mbona, na mko poa tu teh tehMmh naona aibu kumtajia sistaangu, loh! we rudi mwenyewe kusoma comments za watu kisha connect dots, teh
Hapana usijitoe,doesn't change who you really are...maji na mafuta hujitenga yenyewe,bado mko wachache....Kama wanagombanaia sana kua kwenye list acha mie nijitoe, nafasi zenyewe chache kwanza......
Usidandie gari kwa mbele? Sounds so childish! Jaribu kuchagua maneno unapoongea na mtu ambae hakukuprovoke. Najaribu kuelewa kwanini mwanaume mkamilifu, awe na chuki kubwa kwa mwanamke kiasi cha kumwandama kama vile....sijui hata Niiweke katika lugha gani ili ieleweke bila kueleweka tofauti na navyotaka ieleweke.mkuu usidandie gari kwa mbele. her being a woman does not mean she suffers no consequences.