Weekend Story! (Diaspora Vs Struggling Model)

Weekend Story! (Diaspora Vs Struggling Model)

I reply cause i want my thread to have lots of activity! Hahahaaaaaaa! Nikuulize wewe if you don feel me, why spend all the enrgy in my posts. For me you are sort of ENTERTAINMENT kama nilivosema hii sio dini wote mseme AMINA, na wote mngesema AMINA ingeboaaa. So your opinion is VALID jibu utapewa hata la MATUSI nayo ni reply. Uogopewe kama nani kwa mfano? Nisipokujibu wewe leo hiinina pumzi unataka nikakujibie kaburini? Nakujibu hapa hapa. Upo hapo?
Nipo. Chunga tu usije kubebwa na gari nyeusi ukaenda kubakwa...ohoo, jifanye nunda.
 
"But then I realised maybe that's what hell is: And I really really hoped I wouldn't die."

Basi nikatikisa tu kichwa, another phonny marriage. Huku na kuhu siku hio sina hili wala lile K akaanza kutaka kumjua nani alimuandika chooni? Tobaaaaaa! Ananiambia yeye katafakari kaona aliemuandika chooni ANAMTAKA, tena anmtaka vibaya mnoo si bure mpaka kaamua kublock his stable supply of Pu.ssy mule ndani. And thinking of it, he finds it romantic, so atamtafuta huyo mtu, atamtongozaaaa mpaka kieleweke. Na atamla bila hurumaaa! He is up to the challange! Mmmmmmh! Akaniomba nimsaidie kufigure out who was it?

Nikamwambia lazima atakuwa mtu wa UDOM tu. Huku utumbo unanichezaaa. Sasa siku hio akanisimulia aliokota kidemu kwenye daladala kakisaoundisha kija kutoa mchezooo kakila usiku kucha afu asubuhi kamuachi 2000 HAHAHAHAAAAAAAA ya nauli. Alivorudi jioni kaikuta ile 2000 pale pale yule demu kachimbaaa.

Bila haya eti anampigia kwa bashasha, loooohh! Kakuta kala block. Basi anajilalamisha kabisaa haelewi kwanini kala hio block! Mxiuuuuuuuuu! Na demu mtamu bado ana hamu nae tenaaa. Nikamuuliza 2000 uliompa si matusi hayooo! Umle mtu usiku kucha style zote afu 2000 kavuuu? Looooh!

Akadai si ya daladala kwani huyo demu anatumia usafiri gani? Si ndo huo wa hiace. Mmmmmmh! Hata kama. Akasema ndiooooo. Na bora ameicha nikanywe chai na chapati mie. Makubwaaaaaa! 2000 mwenzenu kapewa ya nauli. Hahahahaaaa.

Sasa ikawa kuna demu kampa lift ya bodaboda akamsoundisha. Demu kaingia king. Kamchatisha chatishaaa, kazoom ghetto. Baby kesho nasafiri hela haitoshi, K akamwambia usijali baby asubuhi nitarekebisha fresh. Demu usiku kashakula chips yai na kuku, anamwambia niko MP. Hahahaaaaaaaa! Mmmmmh! Cheko lake likanitishaaaa. Nikasema he didnt do what i think he is about to do.

Nikawa namsikiza tu, ila moyo unanidundaa hatariiii. Nikamwambia haina shidaaa kabisaaa. Akajiachia kabisaaa, nikaenda dukani. Mmmmmh! Nikazidi kuingiwa woga maana namjua hana kipimo huyu kama ana pepoooo. Basi eti kaogaaakajiachia kabisaa kitandani anategemea atalala, asubuhi nimcheki na hela za safari. Weeeeee! Sio striker, Lioneli Messi. Nikaingia kuoga na zana zangu nimeziweka juu ya bafu, nikamuita njoo tuoge.

Akawa kastukaaa, anasitaaa, nikawa namwambia ujue safari inahitaji helaa nyingiii. Kusikia helaa akja kuoga. (What you think he didnt do is exactly what he did) Eeeeeeeewwwww! Piyuskiiiiii! Nikamwambia K kuanzia leo usinisimulie chochote, nimekugawa bureee. Ooooh! Ila curiousity killed the cat. Nikamuuliza asubuhi hela ulimpa? Ndio, nilimpa 5000. Tobaaaa! Nikamwambia nitamtumia zingine nikamnlock. Sasa nikaanza kumuogopa K huenda ni jini na si binadamu.

Akianza kusimulia kitu navaa headphones. Anachekaaa. Sasa story zake zikawa zimepata wafuatiliaji na wanafunzi wengine wanaojifunza ufirauni. Na yeye bila mimi kusimulia haoni rahaa. Hahahaaaa. Siku hio akasema mke wa jirani yangu kaniita nimrekebishie saa. Nikashangaa mimi fundi saa? Nikaangalia sikuielewa nikasepa. Ikapita mda, akasema mke wa jirani yangu kaniita nimchekie rejeta kwenye gari, maji yapo level. Nikamchekia nikasepa. Siku ingine akasema mke wa jirani yangu kaniita nimrekebishie taa.

Nikamuuliza huyu mke wa jirani ni mmoja au watatu tofauti? Akasema mmoja. Nikamwambia ama kweli unazeeka. Anakutaka huyooo. Mmmmmmh akawaza akasema kweli eeeh! Sasa zama hizi umri wake si aseme tu nimpe, itakuwa umemjudge vibaya. Nikamwambia you can not teach an old dog new tricks. She still values the honor that you the man asked. Akasema ngoja sasa nifanyia kazi huu ugunduzi.

Oooooooh! Kosa la defense bao! Kumbe maza mumewe auditor, anasafiri sanaaa, yeye ndo kutaka kujipooza na vijana wadogo kama kina K. K akawa anajipigia tu, hana hata stress. Siku hio maza anamwambia nina mimba! Akamuuliza nini? Nina mimba yako baby!

INAENDELEA LEO LEO
 
Daddy! My Daddy!"

Akamwambia sikiza bi mkubwa una mimba kivipiiiii? Nina mimba yako ndiooo. Okay so si unaitoa? Akajibu SITOI nazaa. Unazaa vipi na mumeo itakuwaje? Itakavokuwa! Itavokuwa vipi, manake mimi shombe shombe huyo mtoto lazima itajulikana ni wanguuu. Maana mashombe mtaa huu ni mimi na wapemba wa pale juu. Mi sitoi ndo nimekutaarifu.

K akasema wewe mama hunijui. Akamsikizia kama miezi miwili akaona kweli mimba inakuaaa, akanza design kuleta story aachane na mumewe waoane. Mxiuuuuuuu. Alihama nyumba usiku wa saa 7. Asubuhi watu kustuka hayupooooo. Kahamia sehemu tofauti kabisaaa, na pande hizo hakatizi kabisaaa mpaka kesho.

Mi namwambiaga mwanao anakaribia kuzaliwa kule, yupo atajijua. Mi sina mtoto. Hahahaaaaaa! Nikamwambia sio vizuri ujue. Akasema mwenyewe mtoto wa nje simjui baba yangu wala nini. Nimelelewa na baba wa kambo hivo hivo kibishi so my son or daughter will be good. Sema nitakuwa naangalia umri, mashombe umri wa mwanangu huko mbele nitakuwa sili manake nisije mla mwanangu wa kumzaa.

Nikamuuliza lakini baba wako wa kambo si alikufanyia wemaaa, kwanini usilipe wemaaa. Aaaah im my fathers son. Damu inafata mule mule tu. Too bad ila ndo imebidi iwe hivo. Baba wa kambo mwenyewe katili tu, mimi kisa mtoto wa nje kanisomesha shule za bei rahisi, hajaniandikia hata kitu kimoja cha urithi. Basi tu anamheshimu mama na kumtunza ndo maana namstahiiii.

Ila sijui kwamba namuona baba au vipi walaaaa. Mimi sikuwa mtu wa kuishi hivi. Baba ana uwezo mkubwaaa mnooo, ila hanisomagi kitambo tu, so na mimi nishaacha kufatilia, naishi nipo kama sipo. I just dont pay attention to details, na ndo maana siendi home, wala huniskii nikitaja home. Simuitagi baba, namuita baba flani jina la mdogo wake.

Nikamwambia maybe your step dad cut you loose sababu ya tabia zako hizi chafu chafu za umauuuni, na kutosjika dini ndo maana hamwendi sawa. Maybe hujiongezi kushukuru, maana japo sio mwanao kakulea ujue. Ukute hakupi kitu maana umeondoka home kama mna ugomvi. Sio vizuri ujue. We jaribu kujiongeza, it is not too late. Wewe sahivi unaweza lea mtoto wa mtu? Mmmmmh! Akakaaa kimya tu.

Basi akaja kuniuliza nijiongeze vipi? Nikamwambia mpigie simu, muite baba nakusalimia nimewakumbuka. Mxiuuuuuu! Akasema we humjui yule anakatisha tamaaa balaa. Nikamuuliza wewe na tabia zako unatia moyo? Ukizingayia mzee wako mtu wa dini hatariiii. Akasema nitajitahidi.

Akampigia, baba shikamooo! Nilikuwa nawasalimia. Akajibiwa leo ndo unajua mimi baba yako? Miaka yote huko uliko hukuliona hilo? Hata salamu? Mimi si baba yako, kamtafute baba yako. Akakata simu. Mmmmh! Akaniambia umeonaaa. Nikamwambia sio hivo, we ulifikiri umechuna miaka ukipiga leo atakupokea kwa vifijo? Unatakiwa upige kila siku mpaka hasira zitamuisha.

Ikawa anapiga anajibiwa kunya, hivo hivo. Mara aambiwe nimekaribia kufa nini mbona unanipigia sanaaa. Hahahaaaa! Ila yale majibu ya kunya yakawa yakipungua ukali. Basi baadae asipopiga baba yake anampigia, akamwambia njoo nyumbani. Ikawa sasa wako in good terms sio baba akingia K, anatoka nje. Mama yake akafurahiii. Akasema hatimae mmemaliza tofauti zenu naweza sema nina familia.

Ikawa siku baba yake akanza kumtumia 1 million anamwambia zuia tu hio ufanye mambo yako. Hivo. Kidogo ikawa hata akijisikia kwenda kwao hawaziii na kuwazuaa. Ila mtoto akawa ndo kamsusa kabisaa hataki hata kujua mimba inaendaje.

Ndo siku isio na jina akaafutwa na designer mkubwa sanaa Insta. Akamwambia ana show yake, kamuona muonekano utafaaaa, aende Masaki wakaongeee.

ITAENDELEA.
 
Hahaha nenda basi na wewe bana, uwe unanitumia na mimi hela ya kodi. Wabeba box wana roho nzuri kichizi, sitoadhirika mie
Hahha fanya twende wote bnah... mambo ya kutuma hela wanafaid wengine usukuma huo !!!!
Hizo roho nzuri tukapate wote...
 
Hahha fanya twende wote bnah... mambo ya kutuma hela wanafaid wengine usukuma huo !!!!
Hizo roho nzuri tukapate wote...
Sasa wewe lete utani na wasukuma waje wakugandamize hapa lol

Hahah basi ngoja nifanye mchakato twende tu wote huko mambelez. Nikirudi hayo mastory atoto atanikoma. Ntakuwa naongea naye tu kutafuta ushirikiano, class yangu itapanda
 
Sasa wewe lete utani na wasukuma waje wakugandamize hapa lol

Hahah basi ngoja nifanye mchakato twende tu wote huko mambelez. Nikirudi hayo mastory atoto atanikoma. Ntakuwa naongea naye tu kutafuta ushirikiano, class yangu itapanda

Hahaha kipindi hicho utamkuta kapata mapacha watatu kwa mpigo chezea Kaboom!!!
Lazima akugande mrudi wote
 
Trust me, i am the expert and you young man HAVE IT IN YOU. You dont need to learn, just let out that beast in you.
Dogo utapotea mapema Graduate kwanza upate maisha kazi na nyumba na vitendea kazi muhimu kisha ndio uanze kupuyanga.
 
Haha ahha ha huyu dingi noma ati "nakaribia kufa nini mbona unanipigia simu sana"
 
Back
Top Bottom