Weekend Story! (Diaspora Vs Struggling Model)

Weekend Story! (Diaspora Vs Struggling Model)

Umekera kila mtu humu, kama swala linakuudhi, huna jukwaa au thread ya kwenda? Umemng'ang'ania dada mpaka umeanza kuudhi kila mtu. Au ungependa sisi Tuanze kukuchukulia wewe hizo hatua unazotishia watu? Hii nchi inaongozwa na viongozi wanaojielewa, kama wewe unamtegemea baba yako au shemeji kutishia watu, acha kumhusisha kwenye upuuzi wako. Eti VPN, umeijua leo?
Tutolee upuuzi wako hapa.

mkuu achana nae huyu....tangu lini nyau akatishia mtu; huyu Andrew Mathias ni kanyau kadogodogo yaani ka-hairy pussy
 
Lara 1 part ya mwisho imeniacha hoiii uhhhaaaa
tuleteee ingine ileee tuburudikeeee sieeeeeee
 
@lara1 hii story nimeiamini, mambo mengi uliyosimulia hutokea kwenye ulimwengu wa namna hiyo.

I don't have the gut to share mine, may be one day.
 
Yes,that's what I meant...
For God's sake the guy has been through a lot,don't tell me kummalizia huyo moja could be a big deal...

Hivi ilikuwa yeye ndo aliwe au yeye ale?

Maana sijaipata point hapa.
 
Cut the bullshit mimi naishi NITAKAVYO MIMI, uJe usome usisomeee i dont really give a shit AT ALL. Wewe tu ukiamua hata kuni black list kwenye Jf yako mimi nitabaki kuwa mimi, hunipunguziii chochote, mavi yako unachimba biti kama ushawahi kunipa hata mia. KAFIE MBELE ALL I CARE. KUANDIKA NITAANDIKA MILELE ALL I WANT AND THERE IS NOTHING YOU CAN DO ABOUT IT. Toka povuuuu la tigo utakavyo MADA NI ZILE ZILE.
Mpotezee,lete utamu
 
i guess designer is a man........would u say the same knowing 'designer' is a man?
Nnahisi kama atamrudia huyo designer, na hivi anapigwa na msoto,lakini si alikuwa na PIKIPIKI huenda Kawa dereva wa bodaboda,au sijui ile PIKIPIKI ilikuwa ya ofisi?
 
@lara1 hii story nimeiamini, mambo mengi uliyosimulia hutokea kwenye ulimwengu wa namna hiyo.

I don't have the gut to share mine, may be one day.

I expect you not to share it as far as your name tells "Omerta"
 
Back
Top Bottom