Weekend Story! (Diaspora Vs Struggling Model)

Hahahaah imeisha hatimaye

Imeluacha MDOMO WA WAZI na akili imeshaja sumu, unajuuutajeeeee kuisoma! Hahahaaa! Mambo kibao hukuwahi hata kuimagine kama yapo.
 
Doh so are you proud of it?
Kuna wachache I can argue, hawanywi hawavuti and wametulia,wachache lakini....
Obviously nimo kwenye hiyo list ya wachache, teh!
 
Teh kwa nini nisiweze, nyie ambao hamjaishi magharibi kunielewa itakuwa kazi kwa kweli. Mkaage tu na class yenu maana hamkawii kuniomba namba

Afu kumbe na wewe hunywi pombe wala kuvuta sigara, naona unagonga tu like?
Hahaaa hope utapata na mtongozo wa kwemye ndege kabisaaa!!

Huoni nimejiweka mwenyewe kwenye list sista....ahaaaa kusubiri kuwekwa mchezo watu mlivyo na roho ngumu kusifia! Halafu huwezi amini hadi vile vingine pia sili, teh
 
Asante lara 1 kwa story nzuri......ila wao vimbito wanaishiaga tu kulost maisha kwa kuchezea ujana wao
 
Hahaaa hope utapata na mtongozo wa kwemye ndege kabisaaa!!

Huoni nimejiweka mwenyewe kwenye list sista....ahaaaa kusubiri kuwekwa mchezo watu mlivyo na roho ngumu kusifia! Halafu huwezi amini hadi vile vingine pia sili, teh
Hahaha levels baby levels, me wa angani tu

Teh mwaka huu hasifiwi mtu, hivyo vingine usivyokula ndo vipi?
 
Hahaha levels baby levels, me wa angani tu

Teh mwaka huu hasifiwi mtu, hivyo vingine usivyokula ndo vipi?
Mmh naona aibu kumtajia sistaangu, loh! we rudi mwenyewe kusoma comments za watu kisha connect dots, teh
 
Kuna watu wanapenda kuchafua hali ya hewa unnecessarily! Kama ukiona inaboa au haileti maana unapita tu kimyakimya kijantali...Ehee! Tunatofautiana interest, unaanzaje kusumbuka na lara 1 ambae hata haumjui, haumnunulii MB na wala haumlipi chochote kuburudisha watu?

Msifanye tume ikalazimika kuanza kukatisha zoezi katikati ya Series.
Tunaomba ustahimilivu na heshima tafadhali.

Jecha.
 
Imeluacha MDOMO WA WAZI na akili imeshaja sumu, unajuuutajeeeee kuisoma! Hahahaaa! Mambo kibao hukuwahi hata kuimagine kama yapo.
Lara nilikuwa nasubiri bad ending ya K....ila mwisho kwanini asingemla designer hapo kaniboa,he could be living big now
 
Hahah hi list ya wachache imekua nongwa..kaka na wewe upo kati ya wachache,hongera..

Kama wanagombanaia sana kua kwenye list acha mie nijitoe, nafasi zenyewe chache kwanza......
 
mkuu usidandie gari kwa mbele. her being a woman does not mean she suffers no consequences.

Mkuu hata kama amekukera basi namuombea msamaha yaishe. Forum ina majukwaa mengi tu unaweza kwenda kwenye interest zako please.
 
Mmh naona aibu kumtajia sistaangu, loh! we rudi mwenyewe kusoma comments za watu kisha connect dots, teh
Hahaha na mimi naona aibu basi coz nimeelewa ulichomaanisha. Ila me nawafahamu watu wa aina yenu wengi tu mbona, na mko poa tu teh teh
 
Kama wanagombanaia sana kua kwenye list acha mie nijitoe, nafasi zenyewe chache kwanza......
Hapana usijitoe,doesn't change who you really are...maji na mafuta hujitenga yenyewe,bado mko wachache....
 
mkuu usidandie gari kwa mbele. her being a woman does not mean she suffers no consequences.
Usidandie gari kwa mbele? Sounds so childish! Jaribu kuchagua maneno unapoongea na mtu ambae hakukuprovoke. Najaribu kuelewa kwanini mwanaume mkamilifu, awe na chuki kubwa kwa mwanamke kiasi cha kumwandama kama vile....sijui hata Niiweke katika lugha gani ili ieleweke bila kueleweka tofauti na navyotaka ieleweke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…