Na dakika 10 hio huyu lara hachelewi KUTUFANYA kama juzi saa saba usiku
Msiumie sana hiyo ni ndoto, Fredy anaota
Yan niliisoma asubuh nikajikuta kama machoz yanataka kutoka hiv...poor anna
Ila Mungu ana huruma.
Kwani hili listory linahusu nini.. Mbona naona mmelishobokea hivo????
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
Listory lenyewe hata halieleweki....
Nashangaa watu mmelishobokea kishenz!!
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
Alikuwa chato!We missed you Lara, welcome back.
Tunashukuru amerudi salama mkuu.Alikuwa chato!
Wala hajarudi salama,kumbuka anamtafuta bwana yule!Tunashukuru amerudi salama mkuu.
kwa sababu nimemsikia akitaja ngosha sijui nini nini!!😱Mkuu ninategemea kupiga kura 2020, usinitie majaribuni.Wala hajarudi salama,kumbuka anamtafuta bwana yule!kwa sababu nimemsikia akitaja ngosha sijui nini nini!!😱
Chief tayar umeshapata mke ambae si usedKwani hili listory linahusu nini, Mbona naona mmelishobokea hivo!!!
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
Utachapiwa tu mkuu one day. Jikaze lakn
Lara haaminiki kwenye mambo ya utamu.. Anaangalia upepo.. Gia inabadilishiwa angani..Mi sijakata tamaa kwakweli Japo ukweli anao lara