kimberlite
JF-Expert Member
- Aug 12, 2012
- 323
- 211
@lara1 nimesoma 1 chapter tu lakini sio kwa nnavyo ogopa huko mbele... maana nipo kwenye boom period ya kumuombea huyoooo mume. I cnt handle disappoints jamani
Safi sana, this shows she is a good writer, yaani anakuvuta hisia zote.Hapo mwisho nimemwaga mchozi basi sisomi tena kwaherini....raha ya stori uburudike
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
HAPPY NEW YEAR PEOPLES!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Maxence Melo sijui hata nisemaje, was watching the news, and everything, HEART BROKEN kwa kweli. Yaani hata kuja humu nilikuwa sinaaa. Thanks God now uko home with your family.
Japo niko busy kuliko busy yenyewe, but we need to celebrate, mwanakondoo mwenzetu umerudi kundini salama, tuna rejoyce na kastory ka kufungulia 2017 just to celebrate your freedom. Ingekuwa amri yangu ningeandika kumchana yule ngoshaaa, mavitu vina vya PETALS OF BLOOD vilimfanya James Ngugi aka Ngugi wa Thiongo alituburudisha sanaa sec na dude lake The river between afukuzwe kenya kabisaa au vina vya ARROW OF GOD la baba la baba Chinua Achebe vilivomfanya atimuliwe Nigeria jumlaaa. Yaaaani walivokuwa wana kuparade mahakamani, my envy, bitterness only God nows nilikuwa na flow hata page 20 NON STOP. Imbeciles kabisaaa. MAY THE ARROWS OF GOD PIERCE THEM AND THEIR FAMILIES. Hili dude la kumchana Ngosha naliweka kwanza iko siku.
Kitu kitawajia SAA 5 USIKU huuuu. Episode 1 hio, si ya kukosa. Sio la kumchana Ngosha lakini. We cant start a new year with bad luck of such magnitude.
Ni kitu pekee ambacho hua nakosa majibu nikiulizwa kama ikitokea ntachukua hatua gain? Ndio maana sitaki kuwaza kabisa.
Hata yeye najua atajilaumu sanaa kwahili, pastor ndio kabisaa biashara ishamchachia.
Sasa uyu mama mkwe ndo nini.......
Ila hii ndoa itapush on tuu Anna atabeba mimba tuuu iwe iweje kwa nguvu ya pesa.........
Mmmhhh lakini karoho kameniuma
Ila Mungu ana huruma.Ndugu hapo ni mungu tu kwakweli
.tuwe na imani kuwa mungu wa ana anaishi
Dunia inavyotuvuruga acha kabisa, mpaka unawaza hivi hiyo pepo wataiona wangapi!!! Mungu atusaidie tu kwakweli.Hata ye mwenyewe kakiri kuuona ufalme wa mungu ni ngumu khakhaakhaa THE SNITCH
Dunia inavyotuvuruga acha kabisa, mpaka unawaza hivi hiyo pepo wataiona wangapi!!! Mungu atusaidie tu kwakweli.
Fredy kiranga choote mfukoni.Mi hapo mwisho nimesoma gafla nikahis mwili kutetemeka yani
Ngoma imeingia virus.... I don't c the happy endingJAMANI NIKO MITAMBONI HATA NIKICHELEWA KIDOGO MJUE NDO NAANDIKA, ILINIBIDI NIENDE KWA SNITCH KIDOGO KUFANYA MAOMBI.
Yan niliisoma asubuh nikajikuta kama machoz yanataka kutoka hiv...poor annaMi hapo mwisho nimesoma gafla nikahis mwili kutetemeka yani
Ngoma imeingia virus.... I don't c the happy ending