carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,569
- 285,616
Freddy kaharibu kweli yan
Mama katili huyu, sio wa kumtegemea kwa ushauri, jinsi fredy alivyomsifia sikutegemea angemshauri huu uuaji mwanae.Wamama wengine nao nuksi kweli. Sasa anatembea yuko full na dawa ya kutoa mimba ya nini?
Hivi unadhani wote tungekuwa sawa kungekuwa na ndoa humu duniani?Pole sana, yaani kwa kuniuliza tu hill swali tayari hasira zimenipanda. Mwanaume anaweza kuvumilia vitu vingi sana lakini hilo linahitaji kipaji.
Nafikiri ni asili yetu, ndivyo tulivyo. Unajua hata katoto kadogo kakiume kana wivu na ndugu zake wa kike hata kama ni wakubwa kuliko kenyewe Ila eti hakapendi kabisa kawaone mazingira yenye utata.
Kuna wanaume wengine lakini wanachukulia poa au huenda tunatofautiana namna ya Ku react ila kwa ujumla, inatuumiza sana.
Why it is not the case kwenu? Mwanamke anakushika ready handed anaumia kisha anakuja tena mnaendelea na maisha. Mwanaume hicho kitendo kinaweza kuathiri maisha yake yote hata kama haongei lakini inamtafuna ndani kwa ndani.
Mama katili huyu, sio wa kumtegemea kwa ushauri, jinsi fredy alivyomsifia sikutegemea angemshauri huu uuaji mwanae.
Hivi unadhani wote tungekuwa sawa kungekuwa na ndoa humu duniani?
Fredy nalo dume lakini hata hana msimamo. Sijui nini kitafuata.Lakini hakua na lengo baya, mie lawama zote namrushia Uncle Fredwaa ana mambo ya ajabu sana, vituko vya hatari mwanzo mwisho full makalambwanda. Majibu ya kukatisha tamaa unafikiri Anna angefanyaje?
Kumbuka mama alisisitiza na kushauri ndoa iendelee tu. Lengo ilikua kutengeneza akajikuta kaharibu, it happens in life.
Hahaaa!! Unavyoogopa kuchapiwa sasa.Hiyo topic ya kuchapiwa na kuchepuka tuiache kwanza, very complicated itanikata stim za kusubiria kushuhudia huu mtanange wa Pastor, Tray na Fredwaaa. Hii ngoma ndio kwaaaaanza halftime.
Hahaaa!! Unavyoogopa kuchapiwa sasa.
Fredy nalo dume lakini hata hana msimamo. Sijui nini kitafuata.
Mapenzi bwana!! Anna anamjua kabisa Fredy alivyo lakini kaamua kujitoa mhanga, wanawake kwa kujitoa mhanga tu hatujambo.Ogopa sana kujihusisha na MTU asiyethamini mwanamke na awe na pesa. Ukiwa nae si unaona maisha umeyapatia? Kumbe mwenzako hiyo ni lifestyle yake we we unamsusia ukifikiri amekuzimia kumbe ndio kwanza anajikumbusha kwamba huwa harudiii.
Hajali kabisa hisia za upande wa pili.
Mapenzi bwana!! Anna anamjua kabisa Fredy alivyo lakini kaamua kujitoa mhanga, wanawake kwa kujitoa mhanga tu hatujambo.
Hiyo topic ya kuchapiwa na kuchepuka tuiache kwanza, very complicated itanikata stim za kusubiria kushuhudia huu mtanange wa Pastor, Tray na Fredwaaa. Hii ngoma ndio kwaaaaanza halftime.
Kwakweli kuwa desparate nayo mbaya sana, maranyingi mwisho wake huwa sio mzuri.Tatizo ni stress na kule kuchanganyikiwa. usiombe hio hali ikukute unaeza fanya maamuzi ya hovyo Wee unaona ni sawa tatizo ni kuwa umefanya maamuzi akili ikiwa haiko sawa
Hata yeye najua atajilaumu sanaa kwahili, pastor ndio kabisaa biashara ishamchachia.Mi roho inauma tu hapa mpaka nashindwa kukoment. Ila alieharibu kuhusu mimba hapo ni Troy tu