FREDY!
Ofcourse nilipokuwa China i decided i am gonna marry this girl, for real. Sikuwahi kuwaza kabisaa kabisaa kama itafika siku ill be that sure about marriage. Ofcourse nilikuwa anawaza mimi ni mtu mwenye pesa nyingi, investment nyingi itakuwaje sasa akija kubadilika, that means she will take 50% plus child support mbona sasa hasaraaa hio. Lazima nimsainishe prenup. Foe now hawezi ila in the future huwezi jua, usione yamewakuta wenzio ukajua wajinga au hawana akili, wenzio wakinyolewa zako tia maji. Nilitaka ni propose Chinna ila nikaona i should do it mbele ya watu wote ili hata nikitaka kughairi nione aibu maana watu wataniangaliaje.
So nikampigia mama, nikamwambia nataka kuoa, akafurahi akasema i thought that day will never come, nakuja fastaaa tufanye taratibu zoteee, unarudi lini, nataka tukutane haraka kabla hujaghairi. Bila kumwambia Anna mama akawa kaja na mwangu yule JR. Jr ni mwanangu afu sio mwanangu, kuna mwanamke alinisusiaga alimleta nje kwangu wakati naishi nje, akamtupa mlangoni, sasa ni hawa migrant maybe hata alihama nchi. Akaacha kinoti mtoto wako. Basi mama akawa anamlea kwa furaha si unajua vitoto malaika.
Anavokuwa yaani hanichukuiii hanichukuii, ila bibi anakaushaa, nikampima DNA, sio mwanangu, Mama akasema huyu tushamlea basi ndo mwanao, kwanza kwenu mna matatizo ya uzazi, unaweza hata usizae, baba yako alikuzaa wewe na kuninywesha madawa ya chango ya kila aina, sikushikaga mimba tenaaaaa. Una hela za kutosha kwani huyu anakula nini kikubwaaa, muache bwanaa, zawadi toka kwa Mungu. Basi JR kalelewa na bibi yake, nikienda namuona na nini ila sana sana kalelewa na bibi.
Siku ya birthday nikataka kuunganisha na engagement, na iwe surprise kwake. Nikamuacha anune nune kwanza kujua nina mke, na nini. Sasa mchana akenda home kwa Maza, jikoni maza akawa kanipigia simu, yupo hapa kaja, na mtu wa keki analeta sasa hivi sasa naanzaje kumfuka mkwe hata hatujatambulishan officially. Mi namwambia mfukuze mfukuzee asione hio keki wala decorations.
Sijui alimfukuzaje ila akaniambia Jr kanisaidia. Baadae nampigia simu hapokei, piga pigaaa pigaa na wewe. Holaaaa. Tukakata tamaaa. Nikiwa najitayarisha kumfata akapiga yeye, nikapokea na kumwambia njoo, wear something nice. Basi sijui kumshtuaa sijui nini she was so jumpy jumpy kama mtu alie panic, and she looked sexy than ever. Baadae akaumwa na kulazwa juu.
Ndo kufahamiana na mkwewe huko hospital na kujua kuhusu Jr maana ilikuwa inamtoa roho. I was actually getting married and all. Basi mama wakaelewana sanaa sanaaa. Mama sio mkorofi manake maisha yake kateseka hatari so hanaga mambo mengi sanaa. Kutoelewana nae sio rahisi kabisaaa.
I just planned to give her the wedding she ever wanted, if it was for me, ningeamka tu na kwenda kanisani misa ya saa 12 tukafunga, basi ndo tayariii. But i also wanted to make her happy nikamuachia aamue anataka nini mwenyewe kwa raha zake. Just tu kushauri na nini. Trust her she wanted a bigger than ever wedding.
I never knew a white dress and a ring meant a lot to women, it was like a lifetime achievement. Akanionesha gauni, it wasnt even designer nikamkatalia. Nikamwambia angalia kwa Vera Wang, Valentino, Alexndra McQueen find something fancy and splendid. Basi ndo roho inamtoka kabisaaa. Tukaweka order online, akapangiwa date ya fitting the shit costed like dolla kumi na kitu. It was my wedding and my first siwezi jua huko mbele. Mwenyewe nikajiagizia Suit ya TomFord, viatu Gucci, belt Lv i was not gonna deny myself.
Imagine Anna usiku anavoongea na Zai na mashoga zake wengine that finally she is gonna get the wedding og her life, Designer brands tupu ndo zina mvishaaa, Pete tumeagiza pete Alrosa Russia huko the things are worth millions. My wedding is like everything i ever wanted. Just everything i wished for nilivokuwa mdogo. God really works. In the end if you trully want something and you believe it without doubts the universe finds a way to make it happen, and it di for me. I am so happy. I am the happiest person on earth. Na hisi sikio moja lilipata hitilafu kwa kuongea na simu mda mrefuuu. Zai yuko USA anaisoma nambaaa maisha amgumu hatari alijua bongo, anafanya cargo hata nauli ya kuja hana. Nikamwambia babe tutamtumia tiketi na mumewe na mtoto.
Honestly kazi yangu ilikuwa hio kushinda online kufanya choice Anna anataka nini. Na trust me alikuwa anataka kila kituuuuu. Alichagua gauni 3 yupo like sijui final decision ni ipi baby, i love them all, namwambia it is your wedding so tutanunua yote matatu utavaa zote 3, designer wa 3 tofauti kwa utakavojisikia, they are just dresses. Almanusra ashikwe uchizi, naamini ndo aliona Mungu ni mjomba wake kabisaaa tumbo moja na mama ake mzazi sio kwa favors hizo.
Nikampa Prenuptial agreement, it wasnt nasty ilisema tu tukiachana, iwe mimi au yeye nitaamua nimpe nini. Aka sign bila hata kuhitajii lawyer wala nini, sidhani hata kama aliisoma. Maybe alijua maisha yatakuwa kama siku 2 hizi 3. Basi Mama alikuwa na mashaka hatari akasema kweli huyu binti anakupenda sanaa mwanangu.
Mahari haikuwa ishu maana baba mkwe ni K, japo alikataa kataa kupokea maahari maana Anna ana ukoo, wakamuomba apokee yeye maana yeye ndo kamlea kama vipi awagaie yeye ila wao hawawezi kupokea. K ananiambia mi nipe creti tu la bia hahahaa. On serious note tulilipa mahari yote. Mkaja kapokea Marriane. Tulilipa vyote vyote kila kitu.
Baada mahari akaenda kufanya fittings gauni 2 moja London, ya 2 Paris. Basi anapiga simu usiku kucha ili tu sijui asinifume na mwanamke sijuiii. Ila ndo hivooooo. Akarudi ikabakia gauni moja ya kufanyia fitting. She was happy i could see she was really really happy fom the bottom of her heart. And she was a snob too. Like rubbing it in their faces aint none of you beaches had a wedding as lavishing as mine.
Basi furaha tu hizooo nikajikuta hata tukipiga mechi unaona kabisaa she is happy, she is relaxed, and i loved seeing her like that kwa kweli. It kept my heart at easy. Basi watu kusikia nataka kuoa wanawake wakfumuka sijui wapi huko wana demands tofauti tofauti ila kubwa wanalalamika Freddy usioe, please sijui nini. Nikawa kila siku nabadili namba, na mpya wanaipata wananisumbuaaa.
Wengine wanasisitiza hata nikioa wapo available and ready to supply me pussy anytime any day, hawana shida kabisaa, wapo tayari kuwa discreet vibaya mnoo. Wapo tayari kwa lolote ila niswakate kwenye maisha yangu. I was changed, i was going to be faithful to Anna. And i am a man of my word. Ndo maana hata ndoa nimeandikisha kanisani maana sina utani na Mungu wala sitaki kubahatisha. No matter what i was going to stay faithful to her, forever. Just like my pops. It was time to walk the walk of my pops. Mda wa kupokea kikombe kile ulikuwa umefikaaaa.
Wanga nao hawaishiiii kuniombea mabayaa, harusi kama hizo hazidumuuu wala hazifungikagiii. Kufuru hiooo sijui nini, wengine wananilaumu kwanini sikuwaoa ndugu zao, jamani mambomengine ya moyo. Hela zangu, natumia kwa mke wangu mtarajiwa, tatizo liko wapiii? Roho mbaya tuuu. Wengine Anna kaniloga sijui nini yaani.
Everything was going fine, until one day, niko na Anna, tena tumtoka kufanyana mchana kabisaaasaa 7, manake siku hizi alianza kunibania oooh tusubiri harusiii, nikamwambia usnitanieeee. Kweli akawa anaikwepa na mama yupo sasa nashindwa pa kumpata. Siku hio mama alitoka Jr, nikasema hapa hapa nipozee kiu kidogo. Basi tumepumzika tunapiga tu story. Baada ya kumu engage ugomvi ukaisha, ukorofi ukaishaaa kabisaaa. Napigiwa simu kutwa mara hata 70. Kila kitu sawa mume wangu. Kauli za upendo hatari. I missed our battles kimtindo.
Ikaingia sms kimtindo, akaisikia, akaniuliza nikusomee, basi tu roho ikaniambia bomu hilooo B52 liwahiiii. Nikaidaka simu. Sms zingine za wale wanwake wanaonitaka bado alikuwa anaziona na anazisomaa, saa ingine awajibu kunya anaoaaa jamani tafutenmi wenuuu, nao wanamjibu tutabanaa hapo hapO. Hahahaaaa! Tunacheka tu. Nikaifungua na kuisoma. Nikashtukaaaa. Nikakaa kwanza, nikaenda chooni, nikaisoma vizuri tenaa mara 3, nikaona hataaaa. Kilichonimaliza nguvu ni SNITCH. Nikamuomba K namba ya SNITCH, akanirushia ni mwenye kabisaa OG, Genuine na hakoseagiii, hadanganyiiii. Nikarudia tena kuisomaaa mara ya 5.
Nikatoka na kumuga natoka mara moja akawa na wasiwasi, nikaenda kumbusu, babay K ana matatizo nakuja sasa hivi it is okay. Love you my wife. Aka relax. Nimefika kwenye gari nikaisoma tena mara 10. Paliponiumaa kuliko kote ANA MIMBA YAKE!!!!!!!!!!! Holly Cow! Bora huko kwingineee. Nikawaza should i call off the wedding? Why? But Why?
Nikaenda kwa K, na kumsimulia, Kakasikitika akasema mimi cha kukushauri sinaaa wewe amua moyo utakavokutumaa, ila mahari sirudishi hahahaaaaaa! Nikakaa kule mpaka saa 6 na tangu nimchumbie saa 2 niko ndani kwangu. Akawa ana nipigia simu sipokei. Roho ya kibandisu ishaanza kunirudiii. Kwanza how come alilala na mwanaume tena boya kama Troy siku ya engament yetu. Hawa wanawake wote akili zao 0.
Picha zikaanza kuungana ndo maana she was so jumpy, unstable kumbe alikuwa analia kwa mengi. Na Malaria juu lazimaa. I was so sloppy ningeiona ilee. Fine aliteleza WHY THE HELL DIDNT SHE COME CLEAN YEYE BINAFSI SIKU ZOTE HIZI IF IT WAS A GENUINE MISTAKE? Dots zikawa haziunganiii na nikaona kabisaa kuna chezo nachezewa mzee mzimaaa. Nikata ki call off the wedding na kwenda kumtimua kule kwangu kama mbwa nirudi na kuanzaa upyaa umalaya tena safari hii wa mwendo kasiiii.
Nikamfata Troy usiku huo huo, Nikamuonesha bastola sema ukweli, akasema kweliiiii, na ana mimba yanguuu. Yaani bado kidogo nimtawanye ubongo bahati yake akajiwahi wewe mbona ulilala na demu wangu Z mi sikulipa kisasi. Alinitibuaaa sio kidogooo. Bahati K alihisi nitaenda kwa Troy akaja mbiooo.
Saa 9 nikaenda nyumbani, mkavuuu, nambusu kabisaaa baby nyingi, hakustukaa, ila moyoni nae bado kidogo ile bastola imuhusuuu. Asubuhi nikamwambia Mama bwana shamba limeingia nzige, harusi hakuna, hapa naenda kwa padri kufuta kila kitu.
Mama akanitulizaaa niambie A to Z, nikamsimuliaa. Akauliza mwenyewe umemuuliza anasemaje ukute sio kweli? Namwambia mama snitch ni mkali wa hizi kazi hakosei kabisaaa. Mama anakomaa snitch nae binadamu kama wewe lazima ana ukosefu kama hajawahi labda hii ndo ya kwanza. Kwanza siku ile alifanya kwa stress, mimi ndo wakulaumiwa, i was so mean and rude to her for the stupid surprise. Harusi inafungwaaa hii, mi si mama yako ahrusi ian fungwaaa"
Namwambia ana mimba mama ya Troy! Mama yupo mimba si tatizo hilola mimba niachie mimi tatizo dogo sanaa, wewe find out from her side, what went down na kuona kama ni genuine mistake au kuna issue. And if you can forgive her, if you can pass through this ndoa yenu itadumu miaka mingi sanaaaa. Harusi zote zinakuwaga na majaribu kama haya ni kuyashinda tu. Hii kazi ya kumbanaa tunaifanya saa ngapi? Nikamwambia saa 5.
Basi Anna hajui chochote mama katoka karudi, kaniambia sikia mimi hapa nina portion hii, dawa ya kienyeji inatoa mimba yoyote, haikoseiii kabisaa iwe ya wiki au miezi. Sasa mi navoona tumtoe hio mimba kibingwa kabla hujamuuliza maana na hio mimba akijua umejua she may change her mind, i am a mother and i know how babies can change your mind. Tumpe kimya kimya, akishakunywa ndo umuulize na kudetermine what next by then mimba takuwa hanaaa. I dont know, sikukubaliana nae, wala sikumpinga.
Akaisaga kwenye juice, na kuitia kwenye glass tayari kwa mission impossible. Nikamfata chumbani maana anashinda online siku hizi siku nzima anangalia wedding za nje huko. Nikajifanya breakfast in bed. Kama Mungu tu hakuinywa ile juice. Imekaa dakika 15 anaipotezea tu. Nikaanza mbali "Baby if i do something really really dangerous to you for our love will you forgive me?" Akashtuka like what? akauliza, Kill me? Nikajichekesha no lets say put something dangerous in your drink will our love survive that taste?" Akaa kwanza "Freddy you are creeping me out?" Akaingalia ile Juice kwa jicho la mashakaaaa. Nikambusu kwanzaa, Baby its me Freddy! Dont you trust me? Nilitaka tu kukutia jamba jamba." Akacheka na kusema "its not that Funny!"Akachukua ile juice na kuinywaaa. Kabala hajainywa nikabadili mawazo na kumwambia STOP!!!!!!!!! Akaniangalia akainywa yote kwa mkupuooooo na kunizome hohoooooooooo!"Hujanipata mara ya pili, it is you Freddy i trust you with my life.
Sasa kashainywa ile dawa, it was time for businesss. Nikamuuliza direct tu "Anna did you sleep with Troy in our engagement?" Akastukaa kidogo afe kwa pressure. Akaanza kufunguka sasa, i didnt mean too, it was a mistake, i was devastated, baby come on, it was a genuine mistake, nilitaka kukwambia but i didnt wnt to spoil us, baby pleaseee, i am so sorry, i have regretted it every single day, baby pleasee" anapiga magoti kabisaaa.
Nikamuuliza "And you are pregnant for him right?" Akastukaaa, "pregnant!!!!! Helll No i am not. i used a condom and drank pills after just to be certain it never happens, i told you it was a simple mistake." Akashika tumbo kwa uchunguuu. "What did you put in my drink Freddy?" Na mimi ndo nagutuka she is not pregnant? What have we done? Namfata mama jikoni, kasema hana mimbaaa, alitumia kinga na kunywa pills after tunafanyaje mtumeee. Mama ndo anavurugwa zaidi yangu, "Yesuu wanguuu, yesu wanguuu, mtoto wa watu, yuko wapi?" Kumfata kajiburuta anakaribia getini damu zinamtoka kwa wingi. Anapiga kelele "Wnataka kuniuaaaa, mlinzi nisaidieeee, wanataka kuniuaaaa, wananiuaaa hawaaaaa, niokoee mlinzi." Mlinzi anashangaaa. Nikamfikia tukampakia kwenye gari tumkimbize hospitali.
Mama analia tu "Freddy tumeuaaa, tumeuaaa mwananguuu, Yesu wanguuu, Yesuuuu wanguuu" Anna anapiga yowe nguvu zinamuishia sasa suati haitoki "Kwanini mnaniuaaa kwanini mnaniuaaa nimewakosea nini jamaniii mimi Anna. Babab yangu na mama yangu kaburini njooni mnisaidie wananiuaaa mimi leo bila kosa lolote" Akazimiaaa sijui ndo kafa. Basi Mama ndo anadataaa "Freddy tunaenda jelaa mwananguuuu."
Tumefika hospital ikabidi nimpigie mshkaji wangu Dr ili walau kama sio riziki anisaidie kuficha ficha mambo. Nilimwambia ukweli, na kumuahidi hela nyingi sanaa kama atanisadiaa maana soo lile. Wakamlaza na kumkimbiza kupewa hudumaaa. Mi na mama tukaondoka kimya kimya maana ndo tushaharibu. Kwenye gari ni mwendo wa kimya kimyaaa tu. Hamna ane ongea kitu kabisaaa.
Nikampigia K na Marriane na kuwaambia Anna kaugua ghfla nimempeleka hospital, wanauliza kaugua nini nikawadanganya tumbooo ila sijui sana. Wakawa wameenda sasa hospital, mimi nimekaa home nimevurugikaa mbayaaa, mbyaaaa. Moja haikai wala 2 haisimami. Nimekaa tu kwenye kochi, devastated. Baadae Dr akapiga simu "Bwana Freddy Anna anaendelea vizuri kwa sasa mda wowote ana regain concious, sasa sijajua kama hato kushtaki kwa jaribio la kumuua, na sijajua atawaambia nini ndugu zake. Ila kwa sasa afya yake iko vizuri kabisaaa, tumezuia ile sumu iliokuwa inakula kizazi isiendelee tena.
Japo kuna tatizo kubwa kidogo, huko mbelenii SIDHANI KAMA ANA ATAWEZA KUZAA TENA, MAANA ILE DAWA IME DAMAGE SANA KIZAZI CHAKE, IMEKWANGU KWELI, MAANA ILE ILILENGA KUTOA MIMBA, SASA ILIVOKUTA MIMBA HAKUNA IKAANZA KUKWANGUA TISSUE ZA KIZAZI. NASIKITIKA KUKWAMBIA JAPO ANNA ATAISHI ILA HATOKUWA NA UWEZO WA KUPATA MTOTO, ANNA NI MGUMBA. Mi nitajaribu kuongea ane, tuone kama atakubali kukusamehe, mimi ni Dr so nijaribu kwa uzweo wangu ila as a friend nakushauri tu Tafuta a very good Lawyer akae standby. Maana Dada mtu yuko hapa anataka sanaa kujua nini kimetokea na kwanini wewe haupo hapa, na kwanini umpeleke hospital badae ndo umpe taarifa, ashahisi foul play. K anamtuliza na Feisal wanamtuliza ila hali si shwari anachotaka kuongea an Anna"
Nikabakia kimyaaaaa. Sasa nisemajeeee. Nawaza tu ANNA NI MGUMBA.
ITAENDELEA KESHO SAA 4 NA NUSU USIKU.