Weekend Story! DESPERATE!

Weekend Story! DESPERATE!

Asante sana best hapo ana najua atalia sanaaaaa si kwa sapriz hizo plus machungu ya kuuza mechi na hofu ya troy kuharibu Sapriz ukiwa katika bad mood ninzuri sana unalia kwa furaha na machungu hapohapo
Kulia lazima na atajilaumu sana kwanini aliuza mechi kirahisi vile kwa troy...yan kitu kama hiki kikitokea unaweza omba aridhi itoboke ujifiche maana
 
Mmh me nawaza hiyo part ya Anna kulala na Troy, haitomuharibia kwa Freddy kweli? Otherwise kuhusu surprise+ proposal, nasmile tu huku mwenyewe
Lifredy likijua haki litamuacha, wanaume malaya aibe yeye sio mwanamke, hamna rangi utaacha ona.
 
jamani wako wapi magavana kama ndugu yetu GILMAN RUTIHINDA leo mpaka shule iliyopewa jina lake inasadifu wasifu wake!!
je,hakuna vuiongozi tena kama hawa!!??
attachment.php

Ukizingatia wanaume bana wao tu ndo wanapenda wachepuke sasa wewe mwanamke chepuka uone atakavoumia
 
Maskini Anna amkatae Freddy, ile ni BP ya mwendokasi!

I wish amkubali Troy yerooo subai, ana mapenzi na Anna!
 
Troy!

She said YES! Just like that she said YES. What the hell? Ila nilijua tu alivoondoka pale nikajua tu i didnt have a chance. Mi Freddy alinialika kabisaa akaniambia ni surprise party, nikiw nakuna kichwa ndo ikaingia simu yaAnna, nikaona ni now or never. Nikachukua chance lile.Simu nikaiweka silent. Nikamjaza aende kule nikajua tu atapanic na kweli kapanic. Basi tu mambo ya maumbile yamenipotezea point kabisaaaa. Ila sijakata tamaa.

Nilitaka nisiende ila nikaamua niende hivo hivo kibingwa, nafika pale, ndo nakuta asha propose. Anna akajibu yes, ikafuata kiss basi. Kila mtu bora Freddy aoe, bora Freddy aoe. Mchana alinitumia ile sms iwe siri yetu nakujua tu anaenda kwa Freddy lazimaaa. Yaani kidogo niseme stop nimtoe tu sadaka niharibu haribu. Ila nikajikaza kiumeee. Ikapita, si pete tu ya uchumbaa, still i have time.

Jioni hio Anna homa ikapanda wakampeleka hospital wao walijua sababu ya pete, ila mi nikajua mambo mengi yametokea hata kama alikuwa ana malaria itatibukaaa ilipokuwaaaa. Ofcourse Freddy na mama yake walikuwa wanasimamia show. Na mimi as a Man in shadows nikaenda hospital kutoa pole zangu. Sasa mi nampa mkono wa pole naona anatetemeka kabisaa as if nimegeuka some sort of a monster.

Kiukweli iliniumaaa sanaaa, na kumpenda ndani yanguuu. Ananiangalia macho ya what are you doing here, as if anatamani nitoke pale namkeraaaa . Roho iliniuma sanaaa. Why? What did i do to her mpaka anione kikwazo namna hio? Just because Freddy proposed all of a sudden i was nothing to her nothing at all. Tsetsetseeeeeeeeeeee.

Siku nikampigia Maria hata sijui kwanini nilimpigia, akaniambia nipo busy nitakupigia nitakupigiaaaa tunapokea mahari ya Anna, mimi na K si ndo tumemlea imagine the stress i am under. Looohhhhh! Ikawa ishakuwa nomaaa. Akili ikaanza kunizunguka huyu boya kweli anaoa, kashapeleka na mahari. Ndo maana kamleta mama yake, maana mama yake anakaaga tu ulaya. Kumbe kamleta kwa mambo kama haya.

Nikawa nikimpigia Anna simu kani block, Haingii kabisaaaa. Then i started having second thoughts. "I only promised not to tell Freddy but i didnt promise her Freddy wont find out, if Freddy finds out it will buy me more time." I just have to do it carefully. Now is the time i will require help form the one and only THE SNITCH. If the snitch tells it to Freddy, Anna cannot put that on me. But who is SNITCH anyway? It gotta be one of us, but who?

Nikaanza kumuuliza Z akasema sio yeye kwa mitume yote, nikahisi ni Anna cause only Anna ndo hajawahi kukutwa na Snitch ila if it was Anna seh would have never ever snitched on Mariane of all people or K, so it is definitely Anna. Nikawaza au K, but K was a victim and benefiteer of Snitch so he couldnt snitch on himself either. Nikawaza au Freddy, could be Freddy but he is too modest and he could never snitch on K no matter what? That left me out, but i couldnt be Snitch because i was grinding my ball figuring who snitch could be.

Nikawaza au Halima how come Snitch never snitched on them yeye wala J4. It has to be these 2, but Halima would never snitch on tina or Marrine, that leaves J4 alone, and J4 was so dumb he couldnt pull this out alone. And on top of that J4 could never snitch on K, he knew about K cheatting longer and more detailed why snitch on that one particular, it is not him definately. It couldnt be Kapima cause he couldnt have snitched on himself.

Nikawa nime run out of options, niakwaza au Mchungaji na Mkewe but they were anti social and knew nothing going on at all, plus SNITCHING IS A SIN so sidhani kama wanaweza kumtania Mungu, na hawakuwa na motive ya kusnitch. Nikaamua kufanya upelelezi wa kina kwa kila mmoja wao kujua sakata lake na aliongea na nani kabla mambo hayabumaaa. Kuna masakata kama ya Mariane she told 4 people she was cheating so it could be anybody alimwambia Snitch.

Nikamuuliza K yeye akadai among all people wanaomjua uhuni wake it could be any body manake hajifichagi mambo yake so hawezi point fingures, ila personally mtu wa ajabu ajabu alie mwambia ni pastor peke yake. Na akamuomba amuombee kwa Mungu why cant he stop cheating. Nikaanza kuona henda pastor ndo Snitch ila ushidi haukutosha wa moja kwa moja kum commit.

Kapima ni teminator sanaa ila nilimuingia kwa gia zangu nikampeleleza akadia kama kuna leakage ilitokea basi upande wa yule mwanamke, ila yeye kama yeye alimwambia mchungaji tu peke yake tu, na anajua moyoni mwake hawezi kuwa amelikisha ili iweje sasa. Mtu wa pili huyu ana muiplicate pastor kama Snitch kwa mazingira elekezi. Nikarudi kwa Marriane kumuuliza kama alimwambia pastor akasema ndiooo. Kwanini namuuliza nikasema nauliza tu. Akasema ilibidi amwambie so that she can live with herself.

Wengine wote kwa nyakati tofauti, waliotumbuliwa na snitch walikuwa na connection moja kwa moja na pastor mwenyewe wala si mkewe. Mwenyewe sikwaza kama pastor anaweza kuwa snitch in cold bald kuwa snitch waumini that is too much evil under gods wing, ila nikawaza labda ana tabia ya kumwambia mkewe na mkewe ndo kawa Snitch. It makes sense. Maana wanawake wanarushana roho hatariii, so labda alirushika roho ndo maana nae akakomoa. Either way i need their help.

Na it makes sense J4 na Halima kutokuwa snitched cause wale ni waislamu, so hawaendi kufata closure kwa pastor wala kumuomba ushauri wala nini, so there is no way angeweza kuwa snitch. Nikawa conviced more than ever kwamba snitch ni patsor, but that was cold blood snitching on your sheep what a pastor. Atachomwa vibayaa sanaa, sanaaa.

Nikaamka asubuhi nikawahi kanisani kuomba mkutano na pastor. Tulivokutana i swear kidogo nigeuke nikawaza so evil of me with my theories kumuhisi pastor vibayaaa. Mtumishi wa Mungu kabisaaa. Ila nikikumbuka Freddy katoa mahari nikakaa pale na kuanza kujiliza, i needed some convising.

"Bwana Pastor mi, mtumish wa Mungu nimekuja hapa i am devastated, yaani kuna mambo yananisumbua sijui kama Mungu atanisamehe, Help me Pastor! " Basi Pator ananipa vifungu vizito kuonesha hakuna kosa kwa Mungu lisilo sameheka. Mi nasita sita kumwambia uongo na kweli just to make myself beliavable. Baadae nikapasua jipu.

"Pastor mi niko njia pandaaa, Fredy kamvisha pete Anna kamlipia mahari, na mimi siku ya engagement nililala na Anna, sio out of love, ilitokea tu pastor you know, mambo yaliingiliana, and all of sudden Fredy kamlipia mahari, na nini na mimi kinachoniuma sanaa snaaa, Anna ana MIMBA yangu. Sasa Pastor mimi kiukweli sina wa kunipigania zaidi ya Mungu, mimi nahitaji damu yangu. Kama Mungu wako ni Mungu wa kweli atende basi na kufanya mambo yawe in my favors. Akitenda pastor mimi nitatoa zaka ya mwaka mzima, and we a are not talking small change me muuzaji wa jumla kkooo kwa siku nauza 5 to 6m sasa 10% ya mwaka, na nitatoa sadaka kubwa sanaaaa." Naongea hayo yote simuangalii kabisaa usoni, kuja kumuangalia his expression was priceless. Akaa kimya kama dakika 5.

Then akaniambia Mungu atatenda. Muamini Mungu ndani ya siku 7 tu ukisimamis hii mistari atatenda miujizaaaa. We amini tu. Na ahadi yako kwa Mungu uikumbuke, Mungu hajaribiwi. Nikajua JACKPOT. Nimeondoka pale mwepesiii, yana kama natoka ku post barua kwa Freddy! Kama Post nikajua ndani ya siku 7 itafikaaa

THE SNITCH

Since i was young i wanted to be a pastor. Nimemaliza shule nimeenda chuo cha uchungaji na i was doing okay kila mtu akawa anasema you will be a great pastor, you will be a great pastor. And i was a great pastor untill when i married my wife.

By then i was small time pastor, i was happy and content with my life, i was praying and hoping God will give me a bigger ministry when my time comes. Then my wife started looking at the bigger picture and wanting a bigger life. Akanipa ultimatum kuwa she married me because she was a bank manager and she knew if church business is managed well it has bigger profits than banks.

Ananipa mahesabu kanisani kwao Roman sadaka kwa wiki ni million 7 mpaka 8 bado zaka na mapato mengine, plus Romans are lazy but they earn that much without effort, wanajibweteka parish pale, hawahangaiki chochote na wana jaza Ibada 5 kwa siku alafu kila eneno wapo. Sasa if we take 1/4 of that population we are rich.

Her plans made sense, she is good, akafanya marketing, matangazo watu wakaanza kuja, and we started growing at higher pace. Nikaona kweli mke nimepata. And profits started coming in. Anashinda you tube anafatilia ministry za Nigeria constantly analeta kitu tofauti kwa waumini, she was good.

Then one day akaja na idea if we are to grow we need miracles. Sasa namwambia mke wangu hapo ni Mungu sasa tutafanyaje, akasema we unamuomba Mungu humuombi? Sasa kama hatendi it means either hataki au yupo busy. Come to think of it Mungu ana mambo mangapi ya kufanya kuna Seria huko watu wanakufa, Somalia watu wanakufa na njaa, boko haramu sijui matetemeko mda mwingine anakuwa busy. After all mambo mengine ni kusolve na common sense baaaaassss. Anasisitiza nakutegemea hapo.

Then it struck me, i might be able to help myself. Basi nikawa nasikilizaaa kwa makini, then na snitch, And snitch started to pay off, people started to see me as a Man of God. Trust the packages they bring. And i got addicted and addicted. The bigger the ministry grew the more i wanted it to grow bigger and bigger.

I never thought there will come a day i have to snitch on Anna. I didnt want to. But come on Freddy is a bigger bait. After all this he maybe in need to find God. Where to ran than to me. Kiukweli niliumia sanaa ill have to snitch on Anna. Ikabidi nimwambie wife niki tegemea kikombe hiki kitaniepukaaa. Wife kusikia Freddy akadai kama kazi hio imenishinda nisijali she'll do the dirty work.

Nikaamua nifanye mwenyewe she may go over board. Nikaa kwanza natafakari, manake Troy nilimwambia in 7 days sasa mpaka siku ya 6 sijafanya. Nikaona i am running out of time, nikachukua simu yangu ya kazi nikaandika ile sms

"Freddy hongera kwa mahari na kutaka kumuoa Anna, ni binti mzuri na tabia zake njema, ila kuna technical problem, siku engagement mchana alilala na Troy, na ana mimba ya Troy. " Nikataka kuisend, roho ikawa nzitoo, nikaamua kuiongezea nyama nikaongeza mstarii "Ila ni binti mzuri tu, just sometimes facks us all. With much regrets THE SNITCH" Nikakaa nusu saa, baadae nikabonyeza SEND.

Nikawaza tu hivi kweli kati yetu kuna mtu atauona ufalme wa Mungu kweli?

ITAENDELEA KESHO SAA 4 USIKU
 
I wish unione kiuso kilivyokua nilipokuta umepost just now..
Oooppss Lara am speechless..
 
Cc espy,mahondaw,samaritan freddy ka propose huku

Dah! Nna Degree ya kuotea upepo wa ubuyu unavyoenda mbaya zaidi Sheikh Yahya aliniachia mikoba, Ila hapa, nimechemka kabisa kuotea nini kinaendelea, Obama anaondoka kwa hotuba ya kutoa machozi huku wengine wanamlaumu huku Trump anaandamwa na vyombo vya usalama na waandishi wa habari.

Nimeshindwa hata kuchagua team. lara 1 kweli umekuja kimwaka mpya.
 
Asante sana best hapo ana najua atalia sanaaaaa si kwa sapriz hizo plus machungu ya kuuza mechi na hofu ya troy kuharibu Sapriz ukiwa katika bad mood ninzuri sana unalia kwa furaha na machungu hapohapo

Hahaaa unanikumbusha kuna Siku nilitakiwa kusafiri kikazi kwenda kufanya kazi ambayo sikuwahi kuifanya wala sikutegemea kuifanikisha, nilikua nauchungu sana kwamba nimeandaliwa kushindwa ili nifedheheshwe, lakini Sikh hiyo pia ilikua Mara yangu ya kwanza kupanda ndege...nilikua na furaha iliyochanganyika na woga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom