Weekend Story! DESPERATE!

Weekend Story! DESPERATE!

Ni kweli mwanaume akikosa pesa unamgundua tu anavyokuwa mpole, yaani sisi baba alikuwa akiwa hana pesa tunamjua tu, basi tutajipendekeza kumfurahisha na mastory mengiii.

Kwa baba anaejali familia yake, hilo halikwepeki. Na sio kwamba anafanya makusudi, wakati mwingine hata hajui kwamba hayupo sawa ila waliomzoea na kumfaham wanajua tu leo kuna kitu hakipo sawa.
 
Kwa baba anaejali familia yake, hilo halikwepeki. Na sio kwamba anafanya makusudi, wakati mwingine hata hajui kwamba hayupo sawa ila waliomzoea na kumfaham wanajua tu leo kuna kitu hakipo sawa.
Ni kweli kabisa na ndio wakati wa kuwa nae karibu na kumgariji, ukimtibua wakati huo unakuwa umemuongezea machungu.
 
Mnajua lara anafurahia sana anavotujambisha watu wazima si kwa hizi hamu za kusubiria dude lishushwe mjengoni Kila dakika tunavochungulia afu holaaa
Yaani na muda ndio hauendi basi taabu tupu!!
 
Yaani na muda ndio hauendi basi taabu tupu!!

Tatizo hajasema ataleta sangapi tena make usiku alizishangua sijui alipatwa nanani usiku huo nakutusahau... Basi achepuke hapo alogin atu- update tu kuwa kitu kitashuka sangapi make nimemmiss anko frede mgeuka kama kinyonga
 
lara 1 nae alikutwa na uncle fredy akatusahau kabisa.
 
Jamani msinile nyamaa mwenzenu, UNCLE FREDDY alinijia ghaflaaa, mida ile nikakosa pa kutokea. Hahahaaaaaaaaaaa! Ndo naandika sahivi.

Hapa tukae kwa machale hapaa lara sikuamin amini ushatuyeyusha mara kibao ujue watu wanataka wadabue weekend mood ohoo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom