Mwanaume wa hivi ukitumia nguvu nyingi siku zote atakuwa mshindi yeye tu.Mxiewwwwwwww,sometime muwage humble basi mnazani Sie hatuumii.....yani ningekuwa mie ningekuwa simjali pia na asirogwe kuniuliza chochote au kunisemesha,coz kila jibu lingekuwa kamuulize Dada ako,kashauriwe kwa Dada ako,kamuombe dadako
Aisee ukiniona wanini ntakuona wakazi gani,naweza kukaa na mtu nyumba moja bila kumsemesha hata mwaka,tukapishana tu as long hakuna emergency yoyote itakayotokea kwa muda huo,me mwenyewe loner.... Kwanza nipo busy na kazi,taking care of my kids and my lovely parents,hapo bado sijaweka muda na Mungu mbona npo occupied sana kujipendekeza kwa mtu asiyenotice wala kuapprrciate uwepo wangu,wooiiiiiiii atasubiri mnoMwanaume wa hivi ukitumia nguvu nyingi siku zote atakuwa mshindi yeye tu.
Tunajijua sisi wala utakuwa humkomoi kwa sababu hata yeye atataka kukuonyesha kuwa anaweza/anajua bila hata uwepo wako,Kwenye mawazo yake atakuwa anataka kukuonyesha anaweza wewe unataka ajue unamkomoa utakuwa ukiumia tu.
We jitie kiburi ukikutana na mwanaume wa hivi huwa ni wanaJeuri hatari Dada angu hasa ikitokea Emegency.Aisee ukiniona wanini ntakuona wakazi gani,naweza kukaa na mtu nyumba moja bila kumsemesha hata mwaka,tukapishana tu as long hakuna emergency yoyote itakayotokea kwa muda huo,me mwenyewe loner.... Kwanza nipo busy na kazi,taking care of my kids and my lovely parents,hapo bado sijaweka muda na Mungu mbona npo occupied sana kujipendekeza kwa mtu asiyenotice wala kuapprrciate uwepo wangu,wooiiiiiiii atasubiri mno
Nakubaliana nawe. Dawa ya mwanaume yeyote ni kujishusha na kuwa mpole. Speaking from experienceWe jitie kiburi ukikutana na mwanaume wa hivi huwa ni wanaJeuri hatari Dada angu hasa ikitokea Emegency.
Anajisemeaga Lara 1 lazima achukue point 3.
Dawa ya wanaume wa hivi (nakumegea siri) Uwe bwege kwake mbona kila kitu utapata.
Is all about opportunity....!Pastor mbayaaa!!
"Njoo tuongee", saa nne usiku? afu jinsia tofauti? ana lake jambo si bure.
Saa nne ilee...
yani nimepapenda hapa amchekie mbingu zinasemaje!!Hahahaha ,Lara wewe....kwamba Mbingu zinasemaje
Hatimaye violla becomes Mrs Pastor.....kohkohkoh,I can't wait......Yeey,nataka violla adate na pastor not that chubby Raul guy.... lara 1 sa ngapi tena unashusha nyingine
Sio kiburi,am just being fair.... Si imeandika mfanyie wenzenu mnayotaka kufanyiwa na wao,maybe it's what he really wants.We jitie kiburi ukikutana na mwanaume wa hivi huwa ni wanaJeuri hatari Dada angu hasa ikitokea Emegency.
Anajisemeaga Lara 1 lazima achukue point 3.
Dawa ya wanaume wa hivi (nakumegea siri) Uwe bwege kwake mbona kila kitu utapata.
Hahahaa, hatimayee...hivi kuna sehemu lara kamuelezea appearance ya pastor maana in my head pastor yuko vizuri,HB flan hivi alafu hana mkeee heee, alafu hashobokei wadada hovyo lasivyo angekuwa ashamkula yule rafiki wa viola...mmh pastor is too good to be true,sijui majanga yake ni yepi na yeye,nasubiri kwa hamuuu....Hatimaye violla becomes Mrs Pastor.....kohkohkoh,I can't wait......
Kamwelezea,ana misuli huyooo Hadi kwenye suti inachomozaaa,Alf yupo smart,mrefu,type ya mashinji....tehHahahaa, hatimayee...hivi kuna sehemu lara kamuelezea appearance ya pastor maana in my head pastor yuko vizuri,HB flan hivi alafu hana mkeee heee, alafu hashobokei wadada hovyo lasivyo angekuwa ashamkula yule rafiki wa viola...mmh pastor is too good to be true,sijui majanga yake ni yepi na yeye,nasubiri kwa hamuuu....
Kamwelezea,ana misuli huyooo Hadi kwenye suti inachomozaaa,Alf yupo smart,mrefu,type ya mashinji....teh
Hahaha mpwa unavaa jeans size gani nikutafutie mgongeo?Mpwa mwambie basi jamaa aniazime kale kajinzi ili na mimi nihudhurie hiyo tafrija mpwa...shati ninalo na raba niatachukua kwa mshana jr
Correction my dear, sio kila mwanaume unatakiwa ujishushe kwake wakati wote (nimeongelea tu generally). Kujishusha kwako, kuwa mvumilivu, mpole kuwe na kikomo. Ujifanye kuvumilia hadi ufe kwa pressure, vipigo na magonjwa yasiyotibika ndo uvumilivu gani?. Unaangalia na Vitu vya kuvumilia, kuna wanaume ukiwa mnyenyekevu sana, utatiwa hadi pilipili machoni. Talking from experience too lolNakubaliana nawe. Dawa ya mwanaume yeyote ni kujishusha na kuwa mpole. Speaking from experience
Hahaha mpwa unavaa jeans size gani nikutafutie mgongeo?