Weekend story! Dare the devil and face your own ghosts!

Daaaah yaan story ikiisha najiskiaga lonely vbaya mnooo! Thanks Lara1
 
Dia lara ubarikiwe sana kwa hadithi hii tamu umenifanya mpaka imebidi tu niwe member ili niipate kiutamuu kabisa..hongera sana kwa kipaji chako nataman niwe mdogo wako ss tukae wote niwe nakusumbua unisimulie
Asante sana jaman
 
Uandishi wako mama unachosha sana ukiamua kuandika kwa moja andika hivyo na si kuchanganyachangany utafikiri wote wanpendelea, sipendi uandishi wa namna yako halafu stori nyingi ambazo unaandika zinakuwa hazieleweki, ni kama bata anakanyaga matope na maji mazito ya chooni, badilika au kajifunze upya namna ya uandishi mzuri ili uwasilishe ujumbe wako kwa walengwa bila kuwachosha wasomaji.
 
Mkuu, kitabu usichokielewa ujue hujaandikiwa wewe.
 
serious???
 
Kuna Party 2 yake ndo ndeefu kuliko part 1. Tujipimzishe kwanza afu kuna mistori kibaoooo pending. Maybe just maybe Mungua akipenda tutaiona part 2.
Lini utaichia part 2??
 
Huwezi kukosa watu wa aina hii katika jamii,ambao kazi yao ni kupinga tu.
 
sawa Tito
 
Nashukuru kwa mrejesho wako. Nitajitahidi kukuridhisha siku ingine.
 
Sijajua kwakweli! Napumzika kidogo nitarudi tena. Naweza kurudi na Part 2 au na story ingine. Kupata update NIFOLLOW humu jf siku nikipost itakupa alert picha limeanza.

Pls nielekeze jinsi yaku follow
 
Umebadilika....few months ago jibu lako hapa lingekuwa tofauti.

Thought only I had noticed.

Ila few months ago there were too many and too hostile of such comments kwahiyo self defense ni muhimu. And those were personal attacks. At least these are opinions based on the writing.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…