Weekend story! Dare the devil and face your own ghosts!

Pole mamii,God is good..yatapita hayo
 
Nashukuru kwa ushauri the issue is sina dhiki kihivooo, i can afford a bundle, unlimited pakage si 35,000 kwa mwezi voda. Nikichajisha bundle hio sasa itakuwa njaaa. Hahahaaa!

Anyway Mungu atanilipia kwa namna ingine.
mmh bhas sawa
 
Lara changisha ata elfu moja per story,hio ni kwa story fupi,ndefu unaongeza dau watu hawawezi kushindwa kutoa kama kweli wanapenda story zako,mind you kuna watu sio members jf ila wanafatilia,Grup watsap ni la watu 200,si haba ujue....ukipenda lakini mama huruma,teh
 

Mmmmmmmh hii story mbona imefanana na ya mshikaji wangu mmoja, sema yeye Siyo pastor na Umri hauendani.
 
Haaaaa sasa Raul kukaa na kiboxer mwanaume nuksi huyooo me ningeumwa ghaflaa ha ha ha ha ha
 
Doh Raul nuksi kwel me ningekuwa ba pisto ningemtoa nayo nduki si kwa kuharibu kule hafai hata kwa kulumangia
 
Duh!!! Lara1 wewe ni nomaaa, hii story imekaa vema sanaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…