Weekend Njema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Weekend Njema

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by donlucchese, Jul 14, 2012.

 1. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,408
  Likes Received: 3,536
  Trophy Points: 280
  salaaam wakuu. natumaini wote hamjambo. kwa wewe ambaye ndio unajiandaa kutoka uende viwanja,kwa wewe ambaye tayari ushaanza kujilia bata viwanja fla zamaaaani,kwa wale ambao wapo nyumbani na familia wanaenjoy kifamilia zaidi, kwa wewe ambae leo umefulia so design upo tu chumbani leo hakutokeki, kwa wewe ambae blackberry service yako iliisha jana af bado hujalipia na wakuu wengineo wooot napenda kuwapa salam za weekend njema na pia naku waacha na hii kitu ya zamani kidogo kutoka kwa the late Culture-Riverside. enjoy!Culture Riverside YouTube - YouTube
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,855
  Likes Received: 83,338
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,408
  Likes Received: 3,536
  Trophy Points: 280
  aiseee mkuu this thing is so classic, reminds me zamani saaaaana
   
Loading...