weekend ilikuwa hivi j3 njema wana jf

weekend ilikuwa hivi j3 njema wana jf

Viper

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2007
Posts
3,666
Reaction score
1,407
weekend yangu ilikuwa hivi... nawatakia j3 njema wakuu

attachment.php

Attachments

• 200490_1880152493287_1525536603_2023453_202516_n.jpg
200490_1880152493287_1525536603_2023453_202516_n.jpg
56.8 KB · Views: 581
haha, si mchezo, inanikumbusha wakati tupo chuo maeneo flani, week end huwa tunasema tunaenda kuvunja LAPTOP, maana yake tunaenda kupiga mitungi ya bei sawa na laptop mpya,😛arty::majani7:😛eace:

Damn mbona sioni RUM hapooo ila safi sna nitakuja watembelea next wknd lol

haha, si mchezo, inanikumbusha wakati tupu chuo maeneo flani, week end huwa tunasema tunaenda kuvunja LAPTOP, maana yake tunaenda kupiga mitungi ya bei sawa na laptop mpya,😛arty::majani7:😛eace:

hehehe mkuu!! umenifurahisha kweli ...

Damn mbona sioni RUM hapooo ila safi sna nitakuja watembelea next wknd lol

Karibu sana Mr

haha, si mchezo, inanikumbusha wakati tupu chuo maeneo flani, week end huwa tunasema tunaenda kuvunja LAPTOP, maana yake tunaenda kupiga mitungi ya bei sawa na laptop mpya,😛arty::majani7:😛eace:

Hapo kweli lazima muandamane sh 5,000 kwa siku haitoshi kabisa

weekend yangu ilikuwa hivi... nawatakia j3 njema wakuu

attachment.php

I can see all the killing agents on your table "smoking kills,smokers die younger etc etc" so what?don't you dare stop smoking!!

Hapo kweli lazima muandamane sh 5,000 kwa siku haitoshi kabisa
haha, bahati nzuri sio bongo, na kuvunja laptop huwa haifanywi na mtu mmoja, kuanzia mtu tano hivi, na sio kila siku teh teh,

Wakuu mie nilikuwa sehemu hizi na wajombi.
Ukiona vitambi vinakuja kila jumatatu basi ni huu ulezi!!!!

hivi hii kitu hakuna mate yanarudi wakati mtu anavuta pumzi?inatakiwa kuwe na mechanism ya kuzuia backflow,or else tu akiacha kufyonza azibe mrija na kidole.ni utamaduni mzuri,hata kama huna hela unaji-enjoy tu

Wakuu mie nilikuwa sehemu hizi na wajombi.

Ukiona vitambi vinakuja kila jumatatu basi ni huu ulezi!!!!

Hivi jamani niambieni, binadamu tuko tayari kushirikiana kwa vitu kama hivi ambavyo mmoja anaweza akanyonya kwa haraka na kuwapunja ama kuwamalizia wenzie lakini kwa nini hatuko tayari kushirikiana kwenye lile lingine ambalo wala hauwezi kuchukua/kumaliza au kupunguza utamu wake?

I can see all the killing agents on your table "smoking kills,smokers die younger etc etc" so what?don't you dare stop smoking!!

mkuu kifo kipo tu!!! kula raha maisha mafupi ....

Back
Top Bottom