Week end special: Shepu za wanawake

Week end special: Shepu za wanawake

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,208
Reaction score
829,195
1: Flat mbele na nyuma n very slim! Hawa huwaga mamiss mara nyingi wanafanana na no 1

2:Mbele flat nyuma maashallah ,wapo japo si wengi kivile , hawa wamefanana na no 5

3:Shepu no 8,hapa ndio penye kazi ni mamiss bantu typical African woman mbele hakujambo nyuma ndo usiseme

4: Kifua tommy diary nyuma flat wanafanana na no 9

5: Full full kichwani hadi unyayoni wamejazia kila pahala hujui shingo ni ipi wala kiuno ,hawa wanafanana na no 11

Maajabu ya uumbaji ni kwamba kila mwanaume ana type yake anayoipenda hapo.

attachment.php
attachment.php

attachment.php
 
aisee ...maini mbona hujayaelezea...
 
Mi nimejua kuna angalau tupicha tuwili au tutatu hivi!
 
Preta......keep on walking.......
 
mmmmh....

weka piha pls pia kiooo nijicheki
 
Hawa ni namba ngapi? In a serious note I real admire watu wenye shape kama huyo wa tatu. Huwa ukiongozana naye mpaka mwenyewe unajisikia raha moyoni!!

hawana maringo; videm vyembamba kama no. 3 kwenye picha - vina nyodo kishenzi sijui ni kwa nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom