Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,875
ndo ulivyo Preta au wanirusha tu roho?
Ha!!!......uliza.......watu tumejaliwa neema bana.......
ndo ulivyo Preta au wanirusha tu roho?
Ha!!!......uliza.......watu tumejaliwa neema bana.......
fanya mazoezi dada yangu; unene sio deal........
Unamjua nyangumi.......?
Tena mwambie aniwache........
Niliwahi kuona picha yake, amefanya nini?
1: Flat mbele na nyuma n very slim! Hawa huwaga mamiss mara nyingi wanafanana na no 1
2:Mbele flat nyuma maashallah ,wapo japo si wengi kivile , hawa wamefanana na no 5
3:Shepu no 8,hapa ndio penye kazi ni mamiss bantu typical African woman mbele hakujambo nyuma ndo usiseme
4: Kifua tommy diary nyuma flat wanafanana na no 9
5: Full full kichwani hadi unyayoni wamejazia kila pahala hujui shingo ni ipi wala kiuno ,hawa wanafanana na no 11
Maajabu ya uumbaji ni kwamba kila mwanaume ana type yake anayoipenda hapo.
Maisha yake ni mazoezi.......lakini umemuonaje.........
duhhhhhhh mimi sijui ni namba ngapi et Munkari niambie
Bila shaka u belong to number 3
Kwani vipi kiongozi?