Nzokanhyilu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2007
- 1,078
- 102
Maybe umesahau kitu kingine shemzigwa,
Japo naweza kuwa naenda nje ya topic niwie radhi, I doubt tovuti hiyo inaweza kupewa tenda kampuni ya kigeni kwakuwa serikali imekosa wazalendo wenye uwezo wa kuitengeneza na kuiendesha. Nafurahi kitu kimoja, watu wako tayari na si mimi pekee kutoa mchango wao wa BURE kwa serikali na kinachofurahisha jamaa hapo juu (defunkadelic) kajitolea hadi kusaidia kazi ya Uwanja wa ndege wa Airport. Wenyewe kama wamemnukuu vema anachotaka kufanya jamaa ni kitu adimu sana na muhimu kwa taifa.
Thanks defunkadelic bro! Una moyo
http://www.statehouse.go.tz/
The Website is currently under construction. Please visit us soon
© Copyright 2006 All Rights Reserved statehouse.go.tz
Wakiweka website mnawachunguza sana, nondoz zao zote wanazoziweka mnazisoma kwa makini sana. Tangu Mwanakijiji awawashie moto Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, sidhani kama kuna wizara au idara ya serikali itakuwa inaanika nondo zake kwenye website yake, maana ni kama vile unajitakia kesi. Mtindo mpya wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ni kuweka percent za mikopo tu bila kuweka figures maana wameona ulaji wao unaweza kuyeyuka ivi ivi sababu ya uchunguzi wa akina Mwanakijiji!
... aibu tupu walah...
enewei hii ndiyo bongo ambapo maneno ni meeeengi jukwaani lakini utekelezaji ni -0 negative zero
Ukiona hivyo ujue hawana uhakina na wanachokifanya....
Game Theory,
Leo Mi nimefanikiwa kufungua hapa http://statehouse.go.tz/president/ , naona Salva kaja na ari mpya au alipita hapa nini?. Interestingly ni kwenye home page kuna Vision, Mission na functions za presidency. Hizi nathani zinahitaji own thread for discussion
Game Theory,
Leo Mi nimefanikiwa kufungua hapa http://statehouse.go.tz/president/ , naona Salva kaja na ari mpya au alipita hapa nini?. Interestingly ni kwenye home page kuna Vision, Mission na functions za presidency. Hizi nathani zinahitaji own thread for discussion
Domain Name: kikweteshein.com
Status: clientDeleteProhibited, clientRenewProhibited, clientTransferProhibited, clientUpdateProhibited
Registrar: GODADDY.COM, INC.
Whois Server: whois.godaddy.com
Referral URL: http://registrar.godaddy.com
Expiration Date: 2008-05-10
Creation Date: 2005-05-10
Last Update Date: 2006-09-23
Name Servers:
ns1.digitalcapitalinvestment.com
ns2.digitalcapitalinvestment.com
Tumpe muda kaka Salva arekebishe mambo...