Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,237
- 44,470
YU BETTER QUIT COZ U R MIXING THINGS.
nASEMA juu ya gharama za internet wewe unaleta video &teleconference, then unaona kuwa humix.
Nakuletea data wewe unabisha tuu hizo ndio spining.
Soma btn the lines ....
Kasheshe ni mmoja wa watu wa Salva Mkuu kieleweke ukimwaga data yeye anakwenda emotional na kuanza spinning .Soma mabadindiko yake yote siku zote hapa alibana sana mwisho akaachia .
Kasheshe ni mmoja wa watu wa Salva Mkuu kieleweke ukimwaga data yeye anakwenda emotional na kuanza spinning .Soma mabadindiko yake yote siku zote hapa alibana sana mwisho akaachia .
Sina uhakika na matumizi ya Internet kwa Ikulu lakini kiwango hicho cha pesa walichoomba kinawezekana kabisa kulingana na gharama za internet Tanzania. Bongo gharama za Internet ziko juu sana ndio maana kuna baadhi ya Radio maarufu bongo mpaka leo wanashindwa hata kuwa na Online Broadcasting. Makampuni mengi makubwa ya Bongo hutumia Satelite Internet Connection ambayo ni very expensive. Tusubiri labda hiyo EASSy (The Eastern Africa Submarine Cable System) itakapomalizika ndio unafuu wa Internet utapatikana Bongo na nchi nchi za ukanda wa mashariki ya Africa.
c. Hata hivyo serikali kama inataka kuwa na facilities hizo basi lazima iwe wazi, inahitaji nini, kwa kiasi gani, na nani atafanya na huyo atakayefanya is it the best offer and product? na swali la "Could we do the same for less"? Hofu yangu ni kuwa serikali yetu bado haina nidhamu ya bajeti ya fedha as long as fedha zipo basi hawana mtu wa kuwaambia hiyo sasa siyo mahitaji ya lazima bali anasa. Kwenye hili la internet nina hofu sana ya watu kuingizwa mjini.
Hili pia lina siasa sana... website ya ikulu haina umuhimu mkubwa sana... zaidi ya website ya Taifa ambayo tunayo... vipaza sauti vipo kwa ajili ya siasa tu... nothing affecting GDPd. Wananchi lazima waone matunda ya fedha zao. Tunajuaje fedha yetu imetumika kwenye internet ya Ikulu wakati hata website haipo, karibu siku ya 1000 sasa tangu ahadi? tunajuaje Ikulu wanatumia email wakati tovuti yao ya wananchi ilikuwa inashindwa kutumika kujibu maswali licha ya kufunguliwa kwa mbwembwe zote? Na ukienda kwenye tovuti hiyo http://www.wananchi.go.tz katika sehemu ya mawasiliano inaonesha kuwa ofisi nyingi zina anuani za ardhini lakini hazina barua pepe.. sasa internet ya nini?
e. Binafsi sioni ulazima wa kuwa fungu pekee la internet wakati tayari unafungu la Mawasiliano! Kwanini Idara ya Mawasiliano ya Ikulu au Wizara ya Habari isiwe ndiyo guardian wa mawasiliano yote ya serikali? Mojawapo ya mafungua mbayo yanaliwa vizuri sana ni haya ya internet ni wizara chache ambazo unaweza kuona ushahidi kuwa kuna internet duniani
wewe as of recently umekuwa ukiropoka utumbo mkubwa sana (sijui ni wa tembo au ....., maana najua sio wa kuku)! sasa ukiulizwa kuhusiana huo uhusiano wa kasheshe na salva huna cha kujibu, mtu akikuuliza unasema anakuandama ! wewe mzima kweli ?? ?? ?? ??!!
karibu uchangia mada .Ikulu na 38m lakini hata website hawana .Ukiandika mails kwao zina bounce .So why so much money ?
Lunyungu please!Umekuwa mke wa Kasheshe sasa ?
Lunyungu please!
Nimekusikia mkuu .Asante .Hawa vijana wanatu provoke tu kila mara .hawajengi hoja ila kutuvuta miguu tu kila mara .
kwi kwi kwi
sina mbavu...
Mifano tu ya gharama za internet kwa Afrika Mashariki cheki hiyo link http://www.foundation-partnership.org/pubs/bandwidth/index.php?chap=chap2&sub=c2e
Kasheshe umecheka nini hadi mbavu huna ? Unajua sisi wazee munkari samutaimu unapanda bwana.Mtu hana hoja kila siku kulia lia tu na kutuvua miguu na siye tunaenda mbele .Inakera anyway turudi kwenye mada ni matumizi ya Ikulu yanatisha internet ipi hasa wana ongelea ?
Maana hawana data base ya info zozote kila kitu ni ma file hata ya mwaka 1966 yapo .Majuzi moja limenidondokea juu limeandikwa mwaka 1969 nimepata mafua hata sasa nakohoa na chafya .