web designing inaumiza kichwa

web designing inaumiza kichwa

Hivi watu kwenye website wanafuata design au content?

he he he he ukweli unauma jamani yaani mapovu yanavokutoka ndo utajua mtu unapogusa. Kwenye ukweli anavopiga mayowe.......endelea kupiga kelele kijana ila hamna kitu pale he he he he
 
Ohh hamna kitu pale, wewe hicho ulichonacho kipo wapi? mimi sijuwi kudesign site nzuri ni sawa siyo ugomvi ila nimejaribu hiyo hapo ipo hewani, wewe nzuri uliyotengeneza ni ipi?
 
Mkuu Idimi nakupongeza kwa kumpa kitabu hicho, mimi pia namuongezea kingine, hiki kitamfundisha namna ya kuandaa content nzuri siyo kwa maana ya picha tu bali kwa maana ya maneno, kinaitwa: ''Make Your Words Sell''.

Bila shaka ndugu mdau.
Kwa kuwa unataka kujifunza hizo lugha za kutengenezea mitandao, basi ni vema ukaanza na basics kama wajuzi walivyosema hapo juu. Kwanza, pitia W3C Schools, kuna mafunzo mazuri kabisa ya mtu anayejifunza web design. Hapo pana mambo mengi sana.
Pia, nimeambatanisha na kitabu cha kujifunzia Html, Xhtml, Css
Kila kheri
 

Attachments

Last edited by a moderator:
Mkuu Idimi nakupongeza kwa kumpa kitabu hicho, mimi pia namuongezea kingine, hiki kitamfundisha namna ya kuandaa content nzuri siyo kwa maana ya picha tu bali kwa maana ya maneno, kinaitwa: ''Make Your Words Sell''.

Pamoja sana mkuu, bora kuoneshana njia za kupita.
Ninavyo vitabu vingi vya web design, ila vingine ni vikubwa sana kuweza kuvi-upload huku. Ila nitajitahidi kuweka vile ambavyo si vikubwa sana ili visaidie saidie.
 

Attachments

kama unataka kuelewa vizuri sana achana na hizo dreamwever itakulemaza hutajua kitu....gonga code manualy ujue alafu ndo.uamie huko kwenye dreamwever ukiwa tayari uko vizuri.....mostly hizo tools ni kwaajili ya mapro ambao wanaelewa wanafanya nn ila kwa kujifunzia sio nzuri sana
Hilo nalo neno.
Nakubaliana na wewe kwamba ni vema mtu anayejifunza codes akaanza na basics badala ya kujifunzia hizi ready made dreamweavers na hizi za drag 'n' drop. Better start from scratch, ndio sababu hapo juu nimetoa link ya WC3 ambao wanafundisha codes kuanzia mwanzo kabisa. Naongeza kitabu kingine kuonesha msisitizo.
 

Attachments

Hujui n imeitoa wapi. Si unaona sasa nimekusaidia hadi umebadilisha ingawa bado kuna warning unaweza kuweka @ kwenye variable au unaweza kuweka ini_set("display_errors","off"). Ila kwakuwa we ni mzee wa tools sijui utakuwa unanielewa.
Unasema nilikuwa nauliza Key za Artisteer ni kweli but you need to know ilikuwa lini? na mi ni mwanfunzi wa Technology so kila kitu lazima nijifunze na nijue strength na weakness zake. Tatizo we hujanielewa unakimbilia kutukana tu kitu ambacho unadhihirisha weakness kwenye uwanja wa ICT, Mi sijakataa we kutumia Tools but we umemshauri huyo jamaa vibaya na Kazi yako hasa Home | Nelly's InnNelly's Inn siyo hasa design, sasa kwa sababu wewe umekataa basi kazi zako ni nzuri...Vimba kichwa sasa na kawaambie mtaani kwenu kuwa nimesifiwa JF kuwa kazi zangu ni nzuri
 
Kama umeshajaribu dreamweaver nakushauri ujaribu pia software nyingine inaitwa ARTISTEER utakuwa na uwezo wa kudesign sites katika:
WEB DESIGN TEMPLATES/HTML
JOOMLA TEMPLATES
WORDPRESS TEMPLATES
DRUPAL THEMES
DOTNETNUKE SKINS na
BLOGGER TEMPLATES

Vyote hivyo kwa kutumia software 1.
CODE IS POETRY.

Mijitu mingine bwana yaani mwenzio ndo kwanza anaanza kujifunza wewe unamshauri atumia hayo ma-templates, kama kweli we ni Web Developer nilitarajia umshauri ajifunze ku-code HTML na CSS kwanza. Kisa wewe umesema haujui Code https://www.jamiiforums.com/tech-ga...geneza-tovuti-ya-mchungaji-paulo-fadhili.html ndo unataka na yeye asijue Code.
 
kaka acha mbwembwe, onyesha kazi zako 2 tu. Acha mbwembwe tafadhari. Onyesha kazi zako. MIMI SIJUWI KITU NIMESHAKUBALI, SASA ONYESHA NA ZAKO USILETE MANENO KILA WAKATI.

hujui n imeitoa wapi. Si unaona sasa nimekusaidia hadi umebadilisha ingawa bado kuna warning unaweza kuweka @ kwenye variable au unaweza kuweka ini_set("display_errors","off"). Ila kwakuwa we ni mzee wa tools sijui utakuwa unanielewa.
Unasema nilikuwa nauliza key za artisteer ni kweli but you need to know ilikuwa lini? Na mi ni mwanfunzi wa technology so kila kitu lazima nijifunze na nijue strength na weakness zake. Tatizo we hujanielewa unakimbilia kutukana tu kitu ambacho unadhihirisha weakness kwenye uwanja wa ict, mi sijakataa we kutumia tools but we umemshauri huyo jamaa vibaya na kazi yako hasa home | nelly's innnelly's inn siyo hasa design, sasa kwa sababu wewe umekataa basi kazi zako ni nzuri...vimba kichwa sasa na kawaambie mtaani kwenu kuwa nimesifiwa jf kuwa kazi zangu ni nzuri


mijitu mingine bwana yaani mwenzio ndo kwanza anaanza kujifunza wewe unamshauri atumia hayo ma-templates, kama kweli we ni web developer nilitarajia umshauri ajifunze ku-code html na css kwanza. Kisa wewe umesema haujui code https://www.jamiiforums.com/tech-ga...geneza-tovuti-ya-mchungaji-paulo-fadhili.html ndo unataka na yeye asijue code.
 
Eti nikajisifie mtaani kwetu nimesifiwa jf, aise nisifiwe na chizi kama wewe halafu nikajisifu?! Umeambiwa uonyeshe kazi zako na mimi nizijadili, MBONA HUWEKI UNAISHIA KUBWEKABWEKA TU?
sasa kwa sababu wewe umekataa basi kazi zako ni nzuri...Vimba kichwa sasa na kawaambie mtaani kwenu kuwa nimesifiwa JF kuwa kazi zangu ni nzuri
 
Mkuu Astro, hivi ndivyo inavyoonekana Iyokopokomayoko Inc kwa sasa. Naenda kuibadilisha na kuweka nyingine yenye full content ndani ya masaa 6 yajayo. Angalia picha hapa chini.

iyokopokomayoko-scrn-1-1024x768.png
 
Last edited by a moderator:
Mnachonifurahisha nyie watu wa IT ni jinsi mnavyotambiana wenyewe kwa wenyewe kuwa mnajua zaidi ya wengine kwenye hiyo field.

Nakumbuka ile project aliyoanzisha Mtazamaji hapa JF https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/106152-it-project-kwa-vitendo.html lakini hata haikumalizika probably kwa sababu ya kila mtu kujifanya anajua zaidi ya mwingine.

Katika professions ambazo zipo underdeveloped hapa Tanzania ni hii ya IT lakini ina watu wanaojiita ni IT experts.

Kama mnataka kuinua hii sekta yenu, you better recognize and respect each others na siyo kubishana kwa vitu vya kijinga.
 
EMT yaani nimebidi nikaifuatilie ile page imenifurasha sana, that project was never going to succeed.
 
Last edited by a moderator:
Cha ziada kipo we ni mkali wa Web Development coz umeonyesha website zako mbili mimi sijaonyesha hata moja
 
----- wewe unakurupuka tu from no where, sasa kama siyo website designer unapata wapi muda wa kudiss kazi za wengine wakati wewe hujuwi hata A kwenye website designing? mara blogger templates mara wordpress hujuwi hata unaongea nini.

ha ha ha ha ha ha ha ha yaani mapovu yanapokutoka ndo unaponifurahisha aisee he he he he he he he he he he he he angalia utalipuka kwa kutokwa povu jamani....haya mambo kama hujui usiwe na hasira tulia upewe darasa aisee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom