Weasel manizo wa uganda yuko hoi mke wake alimgonga na gari maksudi

Weasel manizo wa uganda yuko hoi mke wake alimgonga na gari maksudi

Ashampoo burning

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2023
Posts
1,296
Reaction score
3,929
Nitarudi nasikia uganda mke wake kamgonga na gari nitakuja asubuhi kuleta taarifa kamli kutoka uganda nasikia anaweza katwa miguu mke wake ni mrwanda


Haya 15:08 nimerudi tena kumalizia ufyete kutoka uganda

Basi bwana, vyanzo vya kuaminika vya mitaa ya kampala vimepiga kelele kuwa ugomvi mkali ulilipuka kati ya Weasel na mpenzi wake Sandra Teta pale Shan’s Bar & Restaurant kule Munyonyo kampala uganda. Wanasema wawili hao walikuwa wanazozana hadi joto likapanda kama jiko la mkaa. Dem alikua mkali sana

Wizo ni huyo mwenye rasta na mwezie marehemu radio alipigwa na baunsa hadi kufa huko huko uganda .... jana ikabidi chameleon ampeleke ndugu yake manizo hospital so kila kitu kiko chini chameleon ..... sasa turudi kwenye tukio la Weasel na dem wake
1900x1900-000000-80-0-0.jpg


Sasa, tetesi zinasema Sandra alijaribu kuondoka na gari kwa hasira, lakini Weasel akajipiga moyo konde akasimama mbele ya gari kumzuia. Kumbe demu yuko serious akanyaga moto, gari likamgonga bweee weasel chini Inasemekana miguu yake yote miwili imeumia vibaya sana inaweza katwa muda wowote– yani si mchezo.

Na unajua hawa wawili si wageni kwenye vichwa vya habari… mara nyingi drama zao za mapenzi huwa zinaonekana hadharani, sasa hii ya jana imeacha mtaa wote umepigwa butwaa.

Watu wengi wanaogopa sana kuoa mademu wa kirwanda sababu hasira zao za kiseng£ wizo sasa kama sio uzima basi wheelchair ina msubiri kisa ujinga wa dem wa kirwanda
 
Ugandan musician Weasel Manizo, whose real name is Douglas Mayanja, has reportedly been admitted to Nsambya Hospital after being involved in a car accident.

The event is said to have taken place at Shan’s Bar & Restaurant in Munyonyo.

Several sources say the incident followed a heated disagreement between Weasel and his partner, Sandra Teta.
 
Nitarudi nasikia uganda mke wake kamgonga na gari nitakuja asubuhi kuleta taarifa kamli kutoka uganda nasikia anaweza katwa miguu mke wake ni mrwanda
Ashakum si matusi Hivi huko Dar mmesomea ujinga?!
 
Shida ni kwamba watu mnafosi kuanzisha nyuzi..
Sasa kulikuwa na haja gani kuanzisha uzi kisha habari Kamil asubuhi, ungesibiri tu asubuhi mkuu.

Ngoja ligi ianze, simba vs yanga keshokutwa uzi anaanzisha leo, ili kuwahi, unabaki unajiuliza kuna malipo nini?
🤣😂🤣🤣
 
Back
Top Bottom