We need our money back!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

We need our money back!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by RedDevil, Aug 8, 2010.

 1. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2010
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Najua tutaendelea kulia kila siku kwa hii hali, tunaibiwa tunaibiwa lakini kupiga kelele hatuwezi kisa tunaogopa kupoteza nafasi zetu za kazi, au kupoteza vitu vyetu, au kufanyiwa umaafia. Lakini mtu kama anakuibia why should you keep quit?

  Inabidi upige kelele ili watu wakusaidie na uweze kupona katika wimbi la wizi. hebu fikiria unalipa kodo kiasi kila mwezi? harafu uje usikie kampuni kama atcl, tbc1, trl, nk yanavyofanya kazi bila ufanisi harafu mtu akuambie kuna mkubwa anakula hapo mapato utajisikiaje? Inauma lakini hatuna budi kupiga kelele tuone haya yanakoma, lakini najua pia haisaidii maana kama watu wenyewe wanaridhika na hii neeema ya miezi miwili ya kupewa elfu kumi kumi au laki moja au hata milioni, sitegemei mabadiliko makubwa hapa, zaidi ya kusema wee need our money tujenge nchi yetu.

  Tafadhali viongozi wetu turudishie hela zetu ili tujenge nchi yetu.
   
Loading...