We mzee sasa

We mzee sasa

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,255
IMG-20170402-WA0027.jpg
 
Boarding school tulipanga foleni kwa pasi hii J'mosi na J2, ukiona wanakuzingua sana unakunja skirt unaweka marinda vizuri unalalia chini ya godoro, asubuhi kama inatoka kwa dry cleaner.

Boys swala la pass halikutupa shida saana .labda siku tuna ugeni wa KO au MZD.
 
Mi nakumbuka yangu ilikua na kajogoo hivi apo juu
 
Boys swala la pass halikutupa shida saana .labda siku tuna ugeni wa KO au MZD.
Mzd= mazinde au nimekosea
ila kweli uboyzini tulikuwa hatujali sana swala la pasi
 
1976 namaliza std 7 tulikuwa mabitoz wa shule pasi ya mkaa mnakusanyika sehemu moja wanafunzi kama 30 kunyoosha nguo za shule ama kweli tumetoka mbali
 
Boarding school tulipanga foleni kwa pasi hii J'mosi na J2, ukiona wanakuzingua sana unakunja skirt unaweka marinda vizuri unalalia chini ya godoro, asubuhi kama inatoka kwa dry cleaner.
Umenikumbusha mbali sana,ndo ilikua tabia yangu hii
 
Back
Top Bottom