Sikio la muazini
JF-Expert Member
- Jun 17, 2026
- 245
- 457
We unaonaje kupost kitu halafu usipate hata reply & comment hata moja?
ah! Nashangaa post imejirudiaTafuta kazi ya kufanya maana duh
nadhani hilo ni jambo la kawaida kwenye fasihi andishi. Usipopata reply au komenti mwaka huu, unaweza kupata katika wakati muafaka sana mwaka ujao au vinginevyo, kwasababu fasihi andishi haifi bali huishi daima.We unaonaje kupost kitu halafu usipate hata reply & comment hata moja?