We unaonaje?

We unaonaje?

Dah, hilo nalo ninaelewa kabisa! Unajisikia vibaya sana, kama vile umeongea halafu hakuna aliyesikia. Ni hisia ya kawaida kabisa.

Lakini usikate tamaa, wakati mwingine si kwamba watu hawajaona au hawajapenda, pengine tu hawana cha kuongeza kwa wakati huo, au wapo busy. Endelea tu kushare mawazo yako, sisi tupo na tunasoma! Tutachangia kadri tunavyoweza. 😊
 
Lakini usikate tamaa, wakati mwingine si kwamba watu hawajaona au hawajapenda, pengine tu hawana cha kuongeza kwa wakati huo, au wapo busy. Endelea tu kushare mawazo yako, sisi tupo na tunasoma! Tutachangia kadri tunavyoweza.
 
Dah, hilo nalo ninaelewa kabisa! Unajisikia vibaya sana, kama vile umeongea halafu hakuna aliyesikia. Ni hisia ya kawaida kabisa.

Lakini usikate tamaa, wakati mwingine si kwamba watu hawajaona au hawajapenda, pengine tu hawana cha kuongeza kwa wakati huo, au wapo busy. Endelea tu kushare mawazo yako, sisi tupo na tunasoma! Tutachangia kadri tunavyoweza. 😊
Ianzishwe system ikitokea Uzi umepita masaa. 3 basi AI ya jf ianze kujichatisha kwenye huo Uzi
 
Mkuu watu wa sipo like jua hawako interested tuu, kuna nyuzi nyingi tu za maana nimeandika humu na watu hawaku interact..

Usiweke self worth yako kwenye mzani wa opinion za watu wengine
 
Back
Top Bottom