We mzee sasa

We mzee sasa

Watoto wa siku hizi wajuaji sana kuna kitoto hapo juu kanaasema natafuta kiki nikishapata hiyo kiki nalipwa sh ngapi? 1976 namaliza STD 7 KARUMO PRIMARY SCHOOL MWANZA
Basi mkuu naomba nisamehe yaishe[emoji119][emoji119]
 
Hana lolote anatafuta kiki tu..samahani lakini[emoji125] [emoji125]
Kumbe humu watu mnafahamiana eeehhh........[emoji87] [emoji87] [emoji87]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hapa jf ukileta mjadala wa kuku wataachana na kuku wataanza kujadili twiga, huyu kaleta mjadala wa staili ya unyoshaji shati wameachana na shati wamehamia kwenye pasi
Ukichukulia kila jambo too serious humu Jr......... Ipo siku utaumia aise.....
 
Watoto wa siku hizi wajuaji sana kuna kitoto hapo juu kanaasema natafuta kiki nikishapata hiyo kiki nalipwa sh ngapi? 1976 namaliza STD 7 KARUMO PRIMARY SCHOOL MWANZA
Duh , kama shkamoo, hongera zako mkuu
 
Umenikumbusha mbali sana mkuu.... Enzi hizo nilikua Tabora darasa la sita pale Mihayo S/M, kabla haija badilishwa kuwa Secondary na kisha Primary ikahamishiwa Isevya
 
Kuna na za mikononi. Kwa ktumia
07a368584a724046fb479b67bf448350.jpg
Hii mpaka sasa ipo huko vijijini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom