We mkaka nakutafuta ila nimesahau Id yako.

Nilikuwa nimekuja spidi ila nimekutana na wapuuzi tubaki na upuuzi.wetu nikafyata. Wish you umpate mchepuko wako.
 
Mambo, nna shida na wewe ila id yako nmeisahau (nazeeka sasa) na pms nilishafuta, huwa tunaitana "mchepuko wangu" nahisi una avatar ya R kelly

Tafadhali mchepuko ukiona hii msg come kwa pm haraka iwezekanavyo....muwe na siku njema

Nb: nipo serious kuna bishara flani tuliwahi kuongea ndo maana nakutafuta (wapuuzi mbaki na upuuzi wenu)
Nipo hapa mkuu

Ila mimi nataka iwe zaidi ya biashara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo, nna shida na wewe ila id yako nmeisahau (nazeeka sasa) na pms nilishafuta, huwa tunaitana "mchepuko wangu" nahisi una avatar ya R kelly

Tafadhali mchepuko ukiona hii msg come kwa pm haraka iwezekanavyo....muwe na siku njema

Nb: nipo serious kuna bishara flani tuliwahi kuongea ndo maana nakutafuta (wapuuzi mbaki na upuuzi wenu)
Ngoja niweke Avatar ya R Kelly fasta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Guys mtu ameshatoa rai kuwa anamtafuta kwa sababu maalum afu still watu wanaleta jokes sio vizuri wakuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha upuuzi wewe, hii ni CHIT-CHAT babu, masihara ndio mahali pake. Mamie mwali kakamatwa na nyakato...sijui nyegezi kaja kutangaza dili kwa yeyote aliye sharp.

Ngoja mi nigugo picha ya Ara Kweli niifanye iwe avatar yangu nikaonge mzigo
 
Mambo, nna shida na wewe ila id yako nmeisahau (nazeeka sasa) na pms nilishafuta, huwa tunaitana "mchepuko wangu" nahisi una avatar ya R kelly

Tafadhali mchepuko ukiona hii msg come kwa pm haraka iwezekanavyo....muwe na siku njema

Nb: nipo serious kuna bishara flani tuliwahi kuongea ndo maana nakutafuta (wapuuzi mbaki na upuuzi wenu)
Nazama inbox fasta mchepuko wangu. Huenda baada ya kunibania kwa kipindi kirefu, 'leo' umeona unitunuku!
 
Back
Top Bottom