We mkaka nakutafuta ila nimesahau Id yako.

Pale mwenye akaunti anapohakiwa na baby wake kisha anatafutwa huyo mhisani mchepuko kwa mtego
 
Mambo, nna shida na wewe ila id yako nmeisahau (nazeeka sasa) na pms nilishafuta, huwa tunaitana "mchepuko wangu" nahisi una avatar ya R kelly

Tafadhali mchepuko ukiona hii msg come kwa pm haraka iwezekanavyo....muwe na siku njema

Nb: nipo serious kuna bishara flani tuliwahi kuongea ndo maana nakutafuta (wapuuzi mbaki na upuuzi wenu)

Update 14:25pm mods naomba mfute huu uzi nshampata, ahsante.
Daaah! Yaani mimi bahati zote zina nipita hivihivi !

kutoka: 22D Arnold st.
 
Bwana shemeji dada yako yuko busy tunaelea mapacha wengine, unajua wale wajomba zako wako shule sasa, hivyo tumeleta wajomba wengine wadogo:D:D


Basi mfikishie salamu zangu za mwaka mpya na hepi besdei..maana njia zote nilizozijua hazijafanikiwa.
 
Back
Top Bottom