Nimesahau nywira Kwenye samsung

Nimesahau nywira Kwenye samsung

Ruwamangi

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2020
Posts
1,368
Reaction score
2,551
Wapendwa habari za muda huu,

Simu yangu ilipata changamoto nika restore sasa baadhi ya vitu vimefutika. Nilikuwa nimehifadhi baadhi ya doc kupitia account ya samsung ila pasword nilisahau inaniambia niingie kwa account ya e-mail

nikifanya hivyo kila nikiweka namba yasiri ya google haikubali inaniandikia "id invald"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom