WCF mungu anawaona hakika sio kwa written interview ile

Wcf ni taasisi changa lakini wameanza kuleta figisu figisu katika kuwapata watumishi watakaofanya kazi pale. Udahili wa kiboya sana ule. Halafu wasimamizi wa ifm ni m.a.f.a.l.a 200%, zoezi kama lile linahitaji usimamizi mzuri, majina yanabandikwa hakuna mpangilio wa herufi, hakuna mpangilio labda field hii watu walio short list ni hawa. Yaani wasimamizi wa zoezi hili la wcf Kwa kifupi ni w.a.s.e.n.g.e.
 
Taasisi kama hiyo wcf kama inaendesha interview kwa style hii, na bado ni changa, basi wanayo Safari ndefu kwa kweli.
 
Kenye kusimamia usahili wa watu wengi kama wale tuliokuwepo Duce changamoto lazima ziwepo.
Nilichokiona ni kwamba jamaa wa Ifm walipaswa kufanya maandalizi mapema kwamfano majina na namba zingebandikwa tangu Jana ili asubuh tu watu waweze kuona mapema.
Paper ilikuwa ngumu lakini hyo ndio maana ya Aptitude Test.
Mungu awatangulie na kwa wale watakaochaguliwa next round msisahau kutoa shukrani kwa Sir God
 
Hahaha hawajatuconsider hata tulokua na fa fa fa za hesabu o level...pepa gumu af hamna calculator
 
Kwan zilikuwaje hizo hesabu ?weka hata sampuli 2 tuone hili tukiona jobs zao tuendelee na jembe mapema kuliko kujisumbua
 
there is no other way yakupunguza watu from 2000 to 10 for oral interview lazima ubane haswaaa
 
Ilitakiwa waseme watu wabebe "calculator"

Ila ile ngoma Mungu anaona aiseee!!!
 
Back
Top Bottom