WCF mungu anawaona hakika sio kwa written interview ile

WCF mungu anawaona hakika sio kwa written interview ile

Nilijua tu baada ya kuona long listing ya watu 3000 kasoro kutakuwa na kukomoana tu huko, ndo maana nikasave 100, 000 ambayo ningeitumia kama nauli na mengineyo, poleni sana, mie nishakuwa Senior Expert Job Seeker, najua dunia ya kuomba kazi ilivyo
 
Majibu j tatu tu. Maana mtihani wenyewe usahihisahaji ni mambo ya OMR. Ila muda kiukweli ulikuwa mdogo.
 
Nilijua tu baada ya kuona long listing ya watu 3000 kasoro kutakuwa na kukomoana tu huko, ndo maana nikasave 100, 000 ambayo ningeitumia kama nauli na mengineyo, poleni sana, mie nishakuwa Senior Expert Job Seeker, najua dunia ya kuomba kazi ilivyo
Nimejihisi kusononeka na kuumia nliposoma hizo sentensi mbili za mwisho. Naamini iko cku kiumbe kilichoko jangwani kitayafikia maji.
 
....hahahahahaha..,sasa msithubutu kukutwa mkijadili fafafafa ya Bashite!
..ngoja mimi niongeze popcorn tu!
 
Ebu tuwekee sample za hizo hesabu tuone, au ndo zile za darasa la sita?
 
Sasa ulitaka pepa liwe simple ili tuwe wengi... Hivo hivo hats nikipita mwenyew pale itakuwa poa sana.. Mtu nliacha mambo yangu nikawa nakomaa kusoma. Wcf nawapenda bure
 
Kiukweli ile aptitude ya wcf leo pale ifm haikuwa fair hata kidogo ,namna walivyopanga mambo kuhusu kuingia ndani ya paper utaratibu ulikuwa mbovu sana plus ngoma yenyewe ilikuwa haitembei

Hahaa kwa hiyo mzee umeshajitoa? Wanahitajika watu 31 nyie mnaomba watu 9000 mnategemea nn
 
Njooni tulime vijana,saivi mvua zinanyesha kwa wingi.msije mkasema sikuwaambia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom