MAUBIG
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,040
- 859
Pole sana ndugu yanguNimejihisi kusononeka na kuumia nliposoma hizo sentensi mbili za mwisho. Naamini iko cku kiumbe kilichoko jangwani kitayafikia maji.
Pole sana ndugu yanguNimejihisi kusononeka na kuumia nliposoma hizo sentensi mbili za mwisho. Naamini iko cku kiumbe kilichoko jangwani kitayafikia maji.
Hahahaha nimechka sanaNilijua tu baada ya kuona long listing ya watu 3000 kasoro kutakuwa na kukomoana tu huko, ndo maana nikasave 100, 000 ambayo ningeitumia kama nauli na mengineyo, poleni sana, mie nishakuwa Senior Expert Job Seeker, najua dunia ya kuomba kazi ilivyo
Mbona ngoma ilikuwa "light feather"...wewe tu..[emoji3][emoji3][emoji3]Kiukweli ile atitude ya wcf leo pale IFM haikuwa fair hata kidogo ,namna walivyopanga mambo kuhusu kuingia ndani ya paper utaratibu ulikuwa mbovu sana plus ngoma yenyewe ilikuwa haitembei
All that was part of interview..[emoji3][emoji3]..working under pressure...meeting dead lines and such..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wcf ni taasisi changa lakini wameanza kuleta figisu figisu katika kuwapata watumishi watakaofanya kazi pale. Udahili wa kiboya sana ule. Halafu wasimamizi wa ifm ni m.a.f.a.l.a 200%, zoezi kama lile linahitaji usimamizi mzuri, majina yanabandikwa hakuna mpangilio wa herufi, hakuna mpangilio labda field hii watu walio short list ni hawa. Yaani wasimamizi wa zoezi hili la wcf Kwa kifupi ni w.a.s.e.n.g.e.
dah hili ni tatizo maana izo intern ukienda kuomba mwenzangu na mimi uwezi pewa wengi n ndugu zao niliwai enda fanya interview taasisi fulani ya serikali nikaona maajabu sana kuwa mnagombania nafasi tupu ambazo zipo kwa ajiri ya internNasema hivi watu wamefanya intern hapo zaid ya mwaka mmoja..utachukuliwa wewe waachwe wao?
hawana viwango kvp na ulienda kuzuga au ,kiwango cha mshahara aumimi nilienda just for fun nikapiga pepa simple kabisa, hakuna nililoona gumu kabisa, wakiita ajira wala siendi kwamaana hawana viwango.