WCB kutokuwepo kwenye EATV Awards kunamaanisha nini?

WCB kutokuwepo kwenye EATV Awards kunamaanisha nini?

Unajua afrima ni za nchi gani? (nigeria) wizkid anashiriki au hashiriki? (anashiriki) je ni kitu gani ambacho wcb wanaridhika nacho chakufanya wasishiriki ikiwa hao wanaowaiga wanashiriki na hawabagui? hivi mnajua kuwa eatvarward ni za east africa yote? inakuaje unasema ni ndogo wakati hata kina navio wanashiriki?
Wiz kid anashiriki lakin hatumi maombi
 
Naona mkuu sasa unapotea unavosena saut sol wanamafanikio kuliko diamond........

Naona hapo utanijibu vizuri nani mwenye mafanikio
1479205931994.png
1479205946108.png
 
Ukishatuma maombi unafanyiwa interview?
Jamaa walidhani wanafanya ubu nifu.
 
KWANI NDIO WANAOFANYA MUSIC PEKE YAO?
mm nawakubali sana ila kwa hili waende zao kule wana jiona wakuubwa kuliko tuzo ikumbukwe mchakato ulikua ni msanii au kikundi kujaza fomu ya kujipendekeza kuwania je kama hawa kujaza fomu waka lazimishwe?? je ? mbona sauti soul wapo una taka ku compare sauti soul na WCB?? tusi wasifie tu kisa ni wa home

kuliko jana.com
Napenda kuwajulia hali wana jf...
Nimefatilia categories za eatvarwads cjaona jina hata moja la member yyte wa wcb ukizingatia ki ukweli ndo kundi/label ambalo limefanya vurugu sana kwenye music industry ya bongo mwaka huu ...

Nimeshangaa zaidi hata category ya chipukizi si [HASHTAG]#harmonize[/HASHTAG] wala [HASHTAG]#rayvanny[/HASHTAG] ambao ni washirika

Swali langu kwa hawa vijana je wao si undergrounds?, wameshakua? au wameingia kwenye beef za boss wao kitu ambacho hakiwahusu?

Lets share the views....View attachment 433160
 
Kwani tanzania wasanii ni WCB tu..? Washiriki wasishiriki hiyo ni juu yao...au watu mnahofu au mnataka kutengeneza kitu..!! Kushiriki si lazima!! Au zimekuwa amri za mungu kushiriki kwene hizo tuzo
 
Nawaonea huruma hao underground wa wcb maisha hawajayajua msoto hawajaujua mda huu wangeacha boss wao aendelee na mabeef yake wajitangaze zaidi hata huyo diamond alianzia huku huku chini mpka leo hakuna aliyevunja records yake ya kubeba ktma 7
Mkuu hapa umechemka..wenzio wanamiliki magari na majumba...ulizia namna rayvanny au harmo walivosota kwene hii gemu..umedanganya umma
 
Mbona watu hamuhoji dully sykes..AY ...chameleone...ila mmekomaa na WCB
 
  • Thanks
Reactions: ovi
Mbona sauti sol wametuma? au diamond anamafanikio kuliko wao?
Njoo na hoja yenye nyama
Mkuu una mxuka na WCB...hahaha..vipi kuhusu eddy kenzo..vipi kuhusu AY vipi kuhusu dully sykes au chameleone
 
Wcb yani wao wanaamini kuwa wakiwa nominees wanapaswa kushinda category zote wasiache tuzo hata moja.
Hawataki kukubali kuwa tuzo ni heshima ambayo haipunguzi thamani ya yule aliyeshindwa kwenye category husika.

Wanatamani hata siku moja ajitokeze mtu atangaze sentensi moja tu kuwa tuzo zoote za mwaka huu ni za wcb zipelekwe zooote madale,. Hapo ndiyo wataridhika.
wamefanikisha kuzoa za afrimma kwa mafungu,yule muandaaji ni mpopo na Diamond ndio analala kwake sebuleni akienda kule,watu wako kibiashara zaidi
 
Ukishatuma maombi unafanyiwa interview?
Jamaa walidhani wanafanya ubu nifu.
Ukituma maombi wao wanaangalia vigezo vyao kama umetimiza i.e kazi yako iwe kuanzia january mwaka huu na pia wananchi wanakukubali? then interview inahusika....
 
Mkuu em jumlsha idad 6a tuzo za saut sol mwemyewe af uniambie kama znafanana na total number walioionyesha hao Wikipedia
Hahahaaa usinichekeshe bro unataka kusema wikipedia wamedandanya? na ndo maana source zote nimezitoa sehemu moja. Kwanza tukubaliane hawa wenzetu wamekuwa washindi/nominees kitambo sana.
 
We jamaa unaangaika sana na WCB, wakati unajua fika kuwa nominetedi ni maamuzi yako ya kupeleka ushindane, pia unajua kabisa WASIOPELEKA SI WCB PEKE YAO WAPO NA WENGINE,ILA WEWE MACHO YAKO YAMEWAONA WCB TU ....... Au bila WCB hizo tuzo hazina maana yoyote .......??
Mbna nilishajibu hili mkuu? labda tu cjakukoti.
Bro kilio changu mm c wcb kama label kutoshiriki nalilia hawa chipukizi wazuuri wanatikisa tanzania walionza na bahati zao wakawasha moto wao wa gesi mpka leo bado unawaka kwann hawajatuma maombi? nikahoji kama wanatembea kwenye beef za bosi wao watajipotezea mashabiki wao walitakiwa wawe neutral ili wajijenge kwanza wote tunakubaliana kwamba anayewabeba hawa ni diamond tu si wakali kiviileeee huwezi mshindanisha hamonize na galatone au rayvanny na futurejnl au wote wawili na mayunga. Sasa kuna leo na kesho hatokaa wcb milele anatakiwa akite mizizi yake mwenyewe for the future plan ..
 
Back
Top Bottom