Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,277
Wcb yani wao wanaamini kuwa wakiwa nominees wanapaswa kushinda category zote wasiache tuzo hata moja.Hapana upo sawa nahisi wanahofu ya kushindwa sasa kama upo vizuri hofu ya nn ?
Hawataki kukubali kuwa tuzo ni heshima ambayo haipunguzi thamani ya yule aliyeshindwa kwenye category husika.
Wanatamani hata siku moja ajitokeze mtu atangaze sentensi moja tu kuwa tuzo zoote za mwaka huu ni za wcb zipelekwe zooote madale,. Hapo ndiyo wataridhika.